TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

Kemirembe aliuawa na viongozi mkoa wa geita wakishirikiana na polisi na viongozi wa Chama Cha Majambazi kwa sababu ya fedha zilzotolewa na kampuni ya uchimbaji madini geita gold mine ili pajengwe stendi ya mabasi ya kisasa kama ilivyo nyegezi mwanza pia GGM walitoa fedha kwa viongozi wa geita wajenge uwanja wa kisasa wakazitafuna pesa hakuna uwanja
Hivi polisi hawajawakamata hawa watu waliomuuwa huyu afisa ugavi aaah polisi acheni unafiki wenu jamani.
 
Hivi polisi hawajawakamata hawa watu waliomuuwa huyu afisa ugavi aaah polisi acheni unafiki wenu jamani.
Polisi wenyewe wanahusika na haya mauaji kwa kifupi viongozi wote wa geita wanahusika sababu kemilembe alikuwa anajua mpango wote na alikataa kuwa sehem ya mgao, alichotaka yeye ni kuona maendeleo ya mji wa geita
 
Kemirembe aliuawa na viongozi mkoa wa geita wakishirikiana na polisi na viongozi wa Chama Cha Majambazi kwa sababu ya fedha zilzotolewa na kampuni ya uchimbaji madini geita gold mine ili pajengwe stendi ya mabasi ya kisasa kama ilivyo nyegezi mwanza pia GGM walitoa fedha kwa viongozi wa geita wajenge uwanja wa kisasa wakazitafuna pesa hakuna uwanja
Acha ujinga ndio CCM imue kikatili hvyo

Kwanza yeye Ana usika VIP na Mambo ya CRS

Yule atakuwa ameingia anga ya mtu kumsaga demu wake jamaaa akaona wacha nimtangulize kwa sir god mapema
 
Acha ujinga ndio CCM imue kikatili hvyo

Kwanza yeye Ana usika VIP na Mambo ya CRS

Yule atakuwa ameingia anga ya mtu kumsaga demu wake jamaaa akaona wacha nimtangulize kwa sir god mapema
Hukijui chama changu CCM vizuri we jamaa!!

Amina chifupa Yuko wapi!?

Ukiwa mkweli kuliko hiki chama unachungulia kaburi!!

Deo filiku njombe yuko wapi!!?

Mpina ajichunge sana!!
 
Ila waTz hizi tabia za kuua uana mmerithi wapi hizi roho? Mtu anaweza kuja kukuua kwa mambo yake personal akakusingizia ushonga/usagaji. Shauri yenu mkijihisi mko salama.

Washakula kitanzi huko...
Mihemko ishaisha Sasa ni mwendo wa majuto tu.
 
Mungu tunusuru sisi na vizazi vyetu

Ukweli ni kwamba kukosa watoto ni huzuni na bila Mungu kusimama na sisi kuzaa watoto ni presha kubwa.
Viatu vya wazazi waliozaa na watoto wakaingia kwenye haya mambo havitoshi. Mungu atupe imani

Hivi baada ya kumu-engage yule binti 2017 na kukatwa na polisi aliendelea na ndoa au aliendelea kusagana!?

Kama kauwawa kweli familia yake na familia za aliokuwa anawasaga wanajua walichofanya.

Kupenda vitu vya bure hatari sana. Sasa amehukumiwa kukaa jela maisha
 
Back
Top Bottom