Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Hivi polisi hawajawakamata hawa watu waliomuuwa huyu afisa ugavi aaah polisi acheni unafiki wenu jamani.Kemirembe aliuawa na viongozi mkoa wa geita wakishirikiana na polisi na viongozi wa Chama Cha Majambazi kwa sababu ya fedha zilzotolewa na kampuni ya uchimbaji madini geita gold mine ili pajengwe stendi ya mabasi ya kisasa kama ilivyo nyegezi mwanza pia GGM walitoa fedha kwa viongozi wa geita wajenge uwanja wa kisasa wakazitafuna pesa hakuna uwanja