TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

Dream Queen
Wengi wanaomchukia kwanza hawamjui na hawakubahatika kujuana nae in person..na wengi wao wanamchukia kwasababu aliwazidi sana Kiuchumi yaan aliwapiga gape kubwa sana..na kubwa zaidi ambalo litandelea kubaki kwenye nyoyo zetu ni namna ambavyo Marehem Milembe alivyojua kuigusa Jamii alikua VOICE OF THE VOICELESS PEOPLE IN THE SOCIETY

Kuibeba jamii yeye kwake ilikua ni Primary concern kwenye maisha yake[emoji3590]

Watu wenye chuki binafsi na roho mbaya wamekatisha uhai wake na kuumiza maisha ya wengi waliokua nyuma yake [emoji17]

Kuna watoto yatima wapatao 31 alikua anawalipia Ada wengine wako Vyuo mbali mbali, wengine wako Advance wengine Secondary wengine Primary level wamemuua nani atakaetimiza ndoto za Yatima hawa waliokua wakibebwa na Milembe?

Na alikua akiyafanya hayo kimya kimya wala hakujitangaza [emoji17]

Hakuishia hapo tu alisaidia Wajane waishio Dar Kigamboni na maeneo mengine mbali mbali (WAJANE WALEMAVU WA VIUNGO) aliwanunulia BAJAJI na kuwapa bure..waweze kujikwamua kiuchumi na wala hakutaka kuwapiga picha na kuwatangaza aliyafanya haya kimya kimya Marehemu..Sasa hao wanaomkashifu na kumponda wao wamefanya nini kwenye Jamii???

Tutaendelea kumuenzi kwa mazuri yake na kumuombea Milele [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji120][emoji120][emoji120]

Tulikupenda sana Milembe pumzika Mwamba..waliokufanyia huu unyama watalipa tu damu yako haitaenda kihasara hasara [emoji120]

Allaahuma Aamiiiin [emoji120][emoji120][emoji120]
Lovie Lady umenitoa machozi asubuhi hii, umenifanya nijitafakari hata mimi kipi nilichofanyia jamii yangu kwa kidogo nilichobarikiwa [emoji24][emoji24] Maisha ya Milembe yamenipa chachu na mimi nifanye jambo nikumbukwe kwa Wema kama hivi, niombewe Duaa njema na Watoto Yatima, Wajane, Maskini na Walemavu,

Aendelee kupumzika kwa Amani Shujaa Milembe, tukisema ni shujaa basi tunamaanisha kweli ni Shujaa aliyemulika Maisha ya wengi,

Waliomuua hawatakaa wapate amani ya moyo na laana itawatafuna hadi vizazi vyao vya 10, kila wafanyalo damu ya Milembe isifutike kwenye mikono yao,

Wanaoshabikia kifo chake hawatopata baraka, vilio vya Yatima, Wajane, Walemavu na Maskini viwe vizito katika nyoyo zao, wawe wanaota ndoto za maruwe ruwe tu,

Innalillah wainna Illah Raji'un [emoji120]
 
Nikisema niorodheshe mema ya Milembe nadhani nitashusha gazeti la Nipashe na bado nisimalize

Itoshe kusema Pumzika kwa amani Mpambanaji wa Wajane..Yatima..Maskini..Waishio maisha magumu..Walemavu..Waliokata tamaa n.k

Tutaendelea kuenzi maisha yako Daima [emoji3590][emoji120][emoji120][emoji120]
Wewe umewahi kusagwa na milembe? Pole sana ndo kusema umebaki mjane?
 
Msiue Kisa mmeshindwa ligi huo sio uanaume mi nijike baba yangu aliniambia olewa na mume mwenye sifa hizi, kisakashindwa jambo hakimbilii kuua, au kufanya unyama ni kutatua jambo liwe fresh, jingine mwanaume mwenye kujiamini, kujipenda, kukujali, maana ndio atakujali, mwenye kuchapa kazi, mwenye pesa ,so kuuasio solution soon atatokea milembe mwingine na amejipanga kiulinzi, mumemuua mtu kosa hamuwezi mapigo Sio kifedha au nini
Are you serious?
Huwezi ukakuta tajiri anatumia muda wake kutukana, kubully na kuhamasisha mauaji kwenye mitandao juu ya wapenzi wa jinsia moja,

Tajiri anajali muda wake kidogo aupatao ku socialize kwenye vitu positive.
Kwa hiyo wewe uko kundi gani?
 
Are you serious?

Kwa hiyo wewe uko kundi gani?
I am serious I am (jike) female black short , long hair , far not thin , so kama unataka kujua na watu wananiona fine wananipenda sio jinsia yangu ni jinsia ya kiume pekee sisagani nakaa kwenye kitu inayoitwa human rights.
Tosha Sina jingine hakuna
 
Wanwake tamaa Sana watu wanasagwa kwa vitu vidogo sana

Eti alikuwa awanawasaidia mara oho mkiendelea hivi mtasagwa sana
 
Dream Queen
Wengi wanaomchukia kwanza hawamjui na hawakubahatika kujuana nae in person..na wengi wao wanamchukia kwasababu aliwazidi sana Kiuchumi yaan aliwapiga gape kubwa sana..na kubwa zaidi ambalo litandelea kubaki kwenye nyoyo zetu ni namna ambavyo Marehem Milembe alivyojua kuigusa Jamii alikua VOICE OF THE VOICELESS PEOPLE IN THE SOCIETY

Kuibeba jamii yeye kwake ilikua ni Primary concern kwenye maisha yake❤️

Watu wenye chuki binafsi na roho mbaya wamekatisha uhai wake na kuumiza maisha ya wengi waliokua nyuma yake 😔

Kuna watoto yatima wapatao 31 alikua anawalipia Ada wengine wako Vyuo mbali mbali, wengine wako Advance wengine Secondary wengine Primary level wamemuua nani atakaetimiza ndoto za Yatima hawa waliokua wakibebwa na Milembe?

Na alikua akiyafanya hayo kimya kimya wala hakujitangaza 😔

Hakuishia hapo tu alisaidia Wajane waishio Dar Kigamboni na maeneo mengine mbali mbali (WAJANE WALEMAVU WA VIUNGO) aliwanunulia BAJAJI na kuwapa bure..waweze kujikwamua kiuchumi na wala hakutaka kuwapiga picha na kuwatangaza aliyafanya haya kimya kimya Marehemu..Sasa hao wanaomkashifu na kumponda wao wamefanya nini kwenye Jamii???

Tutaendelea kumuenzi kwa mazuri yake na kumuombea Milele ❤️❤️❤️🙏🙏🙏

Tulikupenda sana Milembe pumzika Mwamba..waliokufanyia huu unyama watalipa tu damu yako haitaenda kihasara hasara 🙏

Allaahuma Aamiiiin 🙏🙏🙏
Andika mazuri yake wajue watu wanapenda kuhukumu tu
 
Kama kauawa kweli basi itakua ni ishu nyingine nje ya huo usagaji,, sioni ni namna gani mtu atachukua hatua za namna hiyo kwa lesbo,, kwa kipi hasa yani,, tena kwa Geita,, hapana
Unadhani kwanini wamkate mikono? Waliommaliza huyo shetani wanajua walichokifanya.
 
Dream Queen Yes alikua mwema zaidi ya hayo yanayozumzwa kasomesha watoto wengi sana mayatima,kawapa pesa vijana,wababa na wamama wajasiliamali wadogo wadogo kujikwamua kiuchumi, kawapa nyumba za kuishi moja kwa moja sio kuwakodisha, kalisha wengi wenye njaa kwa ufupi Marahemu Mirembe kafanya mengi mazuri na makubwa ata ukienda mtaa aliokua akiishi kwa wanaomjua majirani wote wana huzuni nzito kumpoteza Milembe

Alikua very kind and supportive kwa jamii MWENYEZI MUNGU amsamehe madhambi yake na amlipe Pepo 🙏
Acha ujinga, hiyo kitu iko wazi psychologically alikuwa ana-overcompensate ili kuficha uchafu wake. Kama unachofanya wewe hapa.
 
Acha ujinga, hiyo kitu iko wazi psychologically alikuwa ana-overcompensate ili kuficha uchafu wake. Kama unachofanya wewe hapa.
Tena hao wanawake wanavyojua kuteteana sasa full shida,,,

Anyway wamempeleka sehemu sahihi huko alimo
 
Mungu tunusuru sisi na vizazi vyetu

Ukweli ni kwamba kukosa watoto ni huzuni na bila Mungu kusimama na sisi kuzaa watoto ni presha kubwa.
Viatu vya wazazi waliozaa na watoto wakaingia kwenye haya mambo havitoshi. Mungu atupe imani

Hivi baada ya kumu-engage yule binti 2017 na kukatwa na polisi aliendelea na ndoa au aliendelea kusagana!?

Kama kauwawa kweli familia yake na familia za aliokuwa anawasaga wanajua walichofanya.

No yaani hapo anasema daah sijui wazazi wakiona hizi vdeo itakuwaje kiukweli binti anaonekana hapendi hata kwa usoni anaonekana afurahii kabisa, sema kama kweli kama ana pesa basi wanakubali KWA sababu ya pesa😂😂😂😂. MUNGU tusaidie
 
Back
Top Bottom