Palipo na roho na nia nzuri, shetani huingizia roho za tamaa.
Jamaa alikuwa na nia nzuri sana. Kumsaidia binti huyo. Kwa namna yeyote huwezi kusema nia yake ilikuwa kumchukua ili kumlawiti.
Shetani akapata nafasi, akamshawishi kukaa naye na pengine kumnawirisha, akaingiza tamaa. Jamaa yetu akajaa.
Mungu atusaidie. Ukipata nafasi ya kumsaidia mwanafunzi haswa wa kike, usikae naye. Mwache akae mbali, wewe timiza wajibu mwingine. Dhibiti tamaa za kipuuzi na muombe sana Mungu.