Afisa wa serikali adai UDSM ni chuo cha kata, kinazalisha wahitimu wasio na uwezo kiushindani

Afisa wa serikali adai UDSM ni chuo cha kata, kinazalisha wahitimu wasio na uwezo kiushindani

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Haya mliosoma UDSM wale ambao mnafundishwa na Maprofesa wa Jalapani njooni mbishie huyu mwamba hapa 👇


Bwana huyo kutoka Njombe alikuwa akichangia mjadala wa dira ya Uchumi wa Taifa ya 2050


Pia soma Ofisa biashara atuhumiwa kwa kuikashifu Serikali, Mwenge

My Take: Vyuo Vikuu Bora Africa SubSaharan Afrika 👇👇

1722590610517.png
 
Kwani uongo!
Mawaziri, makatibu wakuu na wakurugenzi wengi wanashindwa nini kusimamia miradi na nchi ikafanikiwa badala yake tunaleta DPW kuendesha bandari, misitu, mbuga za wanyama nk
Sio kushindwa. Wanaweza ila wakiendesha kama wanaweza hawanufaiki na wao wanataka wapige nyambi wakagawe bia bar. So kushindwa sio suala la akili ni sual la kimaslahi
 
Huyu jamaa thinking capacity yake iko Biased. Huwez kuwa msomi na akili zako timamu unajaji na kulinganisha ubora wa elimu ya afrika/sub saharan na Ulaya/USA kwa kigezo chochote kile.
KWa hiyo ulitaka ujilinganishe na mchovu mwenzio?ukitaka kupiga hatua nzuri lazima uangalie aliyekuzidi na siyo masikini mwenzako
 
Baadhi ya Watanzania waliosoma marekani na kirudi na kua na impact kwenye taifa au kwenye biashara za familia zao, Mo Dewij, Kevin Twissa (vodacom na mitandao kadhaa) , watoto wa james rugemalira, mtoto wa mzee jambo, baada ya shule alikuta biashara iko hoi Kwa sasa jambo group jamukaya haishikiki, watoto wa shubash patel na esteem company wako viwango vya juu, hata sugu baada ya elimu ya mtaani marekani unaona kiakili yuko mbali sana kuliko ma dogiteri na wenye masters za kuzugia
 
Back
Top Bottom