Afisa wa serikali adai UDSM ni chuo cha kata, kinazalisha wahitimu wasio na uwezo kiushindani

Afisa wa serikali adai UDSM ni chuo cha kata, kinazalisha wahitimu wasio na uwezo kiushindani

Afadhali hajaitaja makerere, ningeumia sana, lakini Kwa UD ni sawa ni kachuo ka kata
Kama nchi,inahitaji mijadalo mingi kama hii huwa napenda sana kuiona na kuifatilia
Udsm yenyewe sahvi sijui kama wanafanya mijadalo

Ova
 
Hata ulipokuwa unasoma advance (kama ulisomea tz) dream yako kubwa ilikuwa ufanye vizuri ili uingie UDSM sasa ndo uelewe kwamba wakati UDSM kinakuwa cha kata vyuo vingine Hapa Tanzania vinakuwa vya kitongoji
Wanafunzi wengi hapo ni weupe tu

Ova
 

MTANZANIA MWENYE IQ KUBWA ALIVYOTEKA MJADALA WA DIRA YA MAENDELE 2025 2050


View: https://m.youtube.com/watch?v=NL0Ej33Mo8Y

kwa hoja kadhaa nzito zenye mifano akielezea mikakati ya Julius Nyerere, Ali Hassan Mwinyi wasomi wa Makerere University ya enzi za mkoloni walivyoona mbali kuwapeleka vijana vyuo vya Harvard Unversity, Oxford University n.k vyuo vikuu tajwa...
 
Back
Top Bottom