Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabudi. Aka Prof. Wa jalalaniMnaosema amekosea tuonesheni kitu chochote kilichotokana na zao la UDSM,
Na huu ndio ukweli wenyewe kabisaa!!Kaongea ukweli, si unaona yule dogo wa NALA amekua bilionea Kwa kutumia elimu ya marekani, halafu graduate wa UD hata awe na phd bado anatafuta ajira miaka yote hadi anakufa,
Hata wakifanya hiyo ranking kila siku still naomba kujua how credible your source is kwenye maswala ya tafiti (maana hiyo kazi ya kupanga nani Bora nani zaidi lazima kuna utafiti ulifanyika) , walitumia njia gani na vigezo gani kufikia Hilo hitimisho.Punguani mkubwa,walinukuu taarifa ya Times Higher university ranking wanaofanya hiyo kazi Kila mwaka
yaani wewe unavyomtukana kiuwa mpumbavu, yeye ndio anakuona mpumbavu wa kutupwa hata hawezi kukujibu.Kuwaendekeza wapumbavu kama huyu ndiyo upumbafu wenyewe unapoanzia.
Kwani kasoma nini huyu ndugu asiyejulikana mwenye makasiriko na chuo kongwe hili hapa nchini?
Zawadini angali kuna mpuuzi anaendekezwa huku.
Hii nchi ukweli ni sumu.... kuna yule mhadhiri alisema UD kumekithiri rushwa za ngono, wakataka kumtia motoni, wakati kila mtu aliyepita chuo anajua hali ya rushwa ya ngono kwenye vyuo.Kaongea kitu kipo wazi, sijaona umuhimu wa mjadala kwenye alichoongea
Hakuna ambae amewahi kulinganisha elimu ya UDSM na elimu ya vyuo vikuu vya nje kwenye nchi zilizoendelea kwa sababu ni jambo lipo wazi
yaani wewe unavyomtukana kiuwa mpumbavu, yeye ndio anakuona mpumbavu wa kutupwa hata hawezi kukujibu.
Vitu vingine unaona aibu Hadi kutetea. Sijui hata uanzie wapi.
Mbona una hasira sana mkuu? Basi sawa….Kuwaendekeza wapumbavu kama huyu ndiyo upumbafu wenyewe unapoanzia.
Kwani kasoma nini huyu ndugu asiyejulikana mwenye makasiriko na chuo kongwe hili hapa nchini?
Zawadini angalia ndugu kuna puuzi linaendekezwa huku.
Ni kiburi na dharau. Si ajabu alisoma sekondari na akafanya mtihani wa NECTA halafu analeta jeuri. UDSM, siku hizo, kilikuwa chuo bora na wasomi wake walitambuliwa na kuheshimiwa. Nakumbuka nlikuwa nje niliposema ninatokea TZ akatajwa Prof. Shivji. Huyu naye alisoma UDSM. Inakuwaje wasomi wa shule za kata watambuliwe nje? Ni kwa sababu ya umahiri wao.Kuwaendekeza wapumbavu kama huyu ndiyo upumbafu wenyewe unapoanzia.
Kwani kasoma nini huyu ndugu asiyejulikana mwenye makasiriko na chuo kongwe hili hapa nchini?
Zawadini angalia ndugu kuna puuzi linaendekezwa huku.
Hasira sina. Au nilichoandika kimekugusa ndugu?Mbona una hasira sana mkuu? Basi sawa….
Boda boda wengi watakuwa na mawazo kama Yako.Udsm wapo wengi sana watamshambulia jamaa balaa.
Ni kiburi na dharau. Si ajabu alisoma sekondari na akafanya mtihani wa NECTA halafu analeta jeuri. UDSM, siku hizo, kilikuwa chuo bora na wasomi wake walitambuliwa na kuheshimiwa. Nakumbuka nlikuwa nje niliposema ninatokea TZ akatajwa Prof. Shivji. Huyu naye alisoma UDSM. Inakuwaje wasomi wa shule za kata watambuliwe nje? Ni kwa sababu ya umahiri wao.
Watu hutambuliwa kwa umahiri wao na sio kwa chuo alichosomea. Hivi, kwa mfano, mwanafunzi aliyetokea shule ya kata leo akafanya mtihani wa O Level NECTA akapata Div 1 ya pointi 7 naye tumdharau? Huyu jamaa ni brain washed. Wacha atoe maoni yake, anayo. haki hiyo
Boda wengi ni graduates wa UDsm.Boda boda wengi watakuwa na mawazo kama Yako.