Nani kamshambulia maana tunaomjua jamaa kapiga kitabu oxford na Harvard, sasa kama kabudi alijisemea pale ni jalalani unataka uendelee kubisha, kama elimu ndio zile za akina janabi vyuo vyenu bado sanaUkiangalia yanayotokea Kwa Sasa katika taifa, jamaa ana hija ya msingi, tujitafakari kabla ya kumshambulia