cacutee
JF-Expert Member
- Apr 9, 2024
- 1,333
- 3,512
Bora wewe umeona kitu cha tofauti. Shida ni mindset zetu wa Africa.Kiufupi sisi waafrica kichwani hamna kitu , ndio maana hata waliofanya makubwa duniani wana elimu za kawaida sana .
Kwanza huyo msomi wa havard ngoja wamtafutie zengwe afukuzwe tuone application ya elimu ya havard mtaani