Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hatari sninawezekana aliomba ruhusa, na balozi alimruhusu aje nalo. na kama ameruhusiwa kuja nalo hadi hapa, sioni kama ni shida kuliendesha. kwani kosa lake liko wapi sasa hapo? kwani ukikabidhiwa gari na serikali hutakiwi kuliendesha?
Hivi Sera yetu ya mambo ya nje ni kuutangaza uhuni na wizi WA mitihaniYani muhuni ampe adhabu muhuni mwenzie
Mi nimejaribu tu kumtoa tongotongo kwamba si kila diplomatic car ni mali ya serikali.... maafisa wote walioko nje wana haki yakutumia nr hizo bila shida.Sidhani hata hivyo, kama huwa kuna ubalozi wa Tanzania nchini Botswana ( l stand to be corrected)..labda kama umea
Ni hivi Watz wenzangu tupeane maarifa.Anatumia gari la serikali ya Tanzania lililopo ubalozi wetu nchini Botswana kuja nalo Tanzania kuxurura nalo na kuhudhuria mahakamani , kesi binafsi!!
Mkuu subiri basi kesi iishe- unataka asije kwenye kesi?Ninasikitika sana!
Serikali imejisahau au ni watumishi wa umma wamejisahau?
Kuna mtumishi wa ubalozi wa Tanzania nchini Botwana anaonekana kila mwezi akizurura na gari lenye namba za ubalozu wetu nchini Botswana.
Sababu za kimsingi kuwa na gari hilo mkoani kilimanjaro ni kuhudhuria mahakamani kwenye kesi iliyofunguliwa mahakama kuu baada ya kununua mali haramu kupitia madalali na sasa anatumia kodi za Watanzania kuhudhuria kesi binafsi.
Ninaishauri serikali idhibiti matumizi ya kodi za wananchi kwa kuzuia matumizi mabaya ya kiofisi.
Ninashauri waziri makamba mpe uhamisho kijana huyo arudi wizarani ili kupunguza matumizi mabaya ya kodi za wananchi.
Huwa anatokea Botswana anatokea zambia na kuingia mpakani eneo la Tunduma..
Picha za gari hilo nitaziweka hapa.