Afisa wa ubalozi wa Tanzania nchini Botswana anaonekana mitaani na mahakamani mkoani Kilimanjaro akizurura na gari la Ubalozi!

Afisa wa ubalozi wa Tanzania nchini Botswana anaonekana mitaani na mahakamani mkoani Kilimanjaro akizurura na gari la Ubalozi!

inawezekana aliomba ruhusa, na balozi alimruhusu aje nalo. na kama ameruhusiwa kuja nalo hadi hapa, sioni kama ni shida kuliendesha. kwani kosa lake liko wapi sasa hapo? kwani ukikabidhiwa gari na serikali hutakiwi kuliendesha?
Hatari sn
 
Sidhani hata hivyo, kama huwa kuna ubalozi wa Tanzania nchini Botswana ( l stand to be corrected)..labda kama umea
Mi nimejaribu tu kumtoa tongotongo kwamba si kila diplomatic car ni mali ya serikali.... maafisa wote walioko nje wana haki yakutumia nr hizo bila shida.

Afterall Tanzania hatuna balozi Botswana tunawakilishwa na balozi toka Pretoria....

Hii nchi wajuaji wengi ni wajinga wakutupwa!
 
Anatumia gari la serikali ya Tanzania lililopo ubalozi wetu nchini Botswana kuja nalo Tanzania kuxurura nalo na kuhudhuria mahakamani , kesi binafsi!!
Ni hivi Watz wenzangu tupeane maarifa.

Siyo magari yote yenye namba za ubalozi (diplomasia au V.I.P) ni za serikali.

Zipo gari binafsi zenye namba za ubalozi lakini ni mali binafsi za watumishi wa ubalozi ambao siyo raia wa nchi ilipo ubalozi huo.

Gari yenye namba 1 mfano hapa kwetu T116CDM1 ni gari ya kazi ya Balozi wa US, yaani gari zote za ubalozi zenye namba CDM1 ni gari za kazi za Mabalozi (Protocol Cars), zinakuwaga na mlingoti wa bendera.

Gari zenye namba T...CD... (T116CD...) ni gari binafsi ya Afisa wa Ubalozi wa US Tz.

Pia gari ya T116CD... inawezakuwa gari ya serikali/ya ubalozi inayofanya kazi za ofisi siyo binafsi.

Hata Balozi ana gari ya kazi (Protocol car CDM1) na gari binafsi yenye namba za hadhi ya ubalozi pia.

Hadi ujuwe undani wa usajili wa gari ya Afisa huyo mlalamikiwa ndiyo utajuwa ni gari yake binafsi au ya ofisi ambazo zote hizo zinapewa namba za hadhi ya ubalozi.

Tusaidiane maarifa.
 
Ninasikitika sana!

Serikali imejisahau au ni watumishi wa umma wamejisahau?

Kuna mtumishi wa ubalozi wa Tanzania nchini Botwana anaonekana kila mwezi akizurura na gari lenye namba za ubalozu wetu nchini Botswana.

Sababu za kimsingi kuwa na gari hilo mkoani kilimanjaro ni kuhudhuria mahakamani kwenye kesi iliyofunguliwa mahakama kuu baada ya kununua mali haramu kupitia madalali na sasa anatumia kodi za Watanzania kuhudhuria kesi binafsi.

Ninaishauri serikali idhibiti matumizi ya kodi za wananchi kwa kuzuia matumizi mabaya ya kiofisi.

Ninashauri waziri makamba mpe uhamisho kijana huyo arudi wizarani ili kupunguza matumizi mabaya ya kodi za wananchi.

Huwa anatokea Botswana anatokea zambia na kuingia mpakani eneo la Tunduma..

Picha za gari hilo nitaziweka hapa.
Mkuu subiri basi kesi iishe- unataka asije kwenye kesi?
 
Back
Top Bottom