Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fairness wakati mwezako kazimishwa moto, kweli br , remember maisha iko moja haina spare..Waniambia uchaguzi huu ambao ulikuwa top 3 bora afrika nzima kwa transparency and fairness haufai kuigwa? Hata rais wenu mstaafu kafurahishwa na uchaguzi wetu.
Ni muhimu sana kuacknowledge the obvious.
Oya, brazaFairness wakati mwezako kazimishwa moto, kweli br , remember maisha iko moja haina spare..
Duuu pw mekubaliOya, braza
Demokrasia ni safari wala siyo destination. Hakuna uchaguzi sehemu yoyote duniani ambapo uchaguzi hukuwaga 100%. Mpe pongezi mwenzio akijaribu.
Poleni kwa famila ya mwendazake
Angalau lakini kuliko uchafuzi wa ccm,wanatupigisha kura wakiwa na washindi tayari.Afuu bado mnadai tujifunze kutokana na uchaguzi wa kenya hapanaa
[emoji23][emoji23] jamaa waselaAngalau lakini kuliko uchafuzi wa ccm,wanatupigisha kura wakiwa na washindi tayari.
Uzi huu,haupati wachangiaji,kwa vile wengi walisema,uchaguzi wa Kenya ni huru,lakini mtu kama huyu,binadamu mwenzetu,amekatishwa maisha na watu,wasiojulikana.Mbali na visa vingi,alivyotaja Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi wa Kenya ,kwa maofisa wake,vya ku.kukamatwa na kuhangaishwa,pamoja na yeye.Mwili wa Mbolu ulipatikana na Wafugaji ukiwa unetupwa kwenye mto ambao kwa sasa ni mkavu.
Dada zake wawili wameweza kumtambua kwa mujibu wa Polisi kutoka kituo cha Loitoktok
Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati alisema afisa huyo alipotea Alhamis Agosti 11
Maafisa wa kuchunguza mauaji wamefika katika hifadhi ya maiti eneo hilo kuanza uchunguzi
Hapo pia,mheshimiwa umechangia,ubarikiwe sana.Sasa Kama hatuna cha kuchangia tufanyaje mkuu!
Nchi za kiafrika ukitoa South bado sana Trump aliongea ukweli watu wakamwona ChiziSasa Kama hatuna cha kuchangia tufanyaje mkuu!
Kweli kabisa mkuu....sioni mantiki ya kumuua mtu kisa ni uchaguzi,je huyo afisa alikuwa na impact gani katika matokeo Mpaka auwawe.....au alikataa kupokea mlungula WA wahusika hivyo kuonekana ni nuksi.....inafikirisha sana kwakweliNchi za kiafrika ukitoa South bado sana Trump aliongea ukweli watu wakamwona Chizi
Umesema vilivyo tusikae kimya.Kweli kabisa mkuu....sioni mantiki ya kumuua mtu kisa ni uchaguzi,je huyo afisa alikuwa na impact gani katika matokeo Mpaka auwawe.....au alikataa kupokea mlungula WA wahusika hivyo kuonekana ni nuksi.....inafikirisha sana kwakweli
Kweli kabisa mkuu....sio Sawa kabisaTulani kwa nguvu zote,matukio kama haya.