Kenya 2022 Afisa wa Uchaguzi aliyetoweka akutwa amefariki

Kenya 2022 Afisa wa Uchaguzi aliyetoweka akutwa amefariki

Kenya 2022 General Election
Inauma sana
mwili-pic-data-1.jpg
 
Uzi huu,haupati wachangiaji,kwa vile wengi walisema,uchaguzi wa Kenya ni huru,lakini mtu kama huyu,binadamu mwenzetu,amekatishwa maisha na watu,wasiojulikana.Mbali na visa vingi,alivyotaja Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi wa Kenya ,kwa maofisa wake,vya ku.kukamatwa na kuhangaishwa,pamoja na yeye.
Kwani kuuwawa kwa afisa ni tafsir ya uchaguzi kutokua huru?
 
Afrika bado tuna safari ndefu sana, tuchokifanya ni demoghasia sio demokrasia!
 
Kwa kuwa hatufahamu kwanini wamemuua basi tu apumzike salama mtumishi...
 
Wanaharakati bado mnataka tukajifunze kenya?
Wafura Chibukati na Jecha tofauti yao iko wapi?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Yaitwa demokrasia, hapa chini wanampigia kura yule mbunge na mca wanaomtaka na ywaweza kua ametoka chama chengine. Kisha kura ya urais yakwenda kwa yule anayefaa kukalia hicho kitu.

Politics is local

Pamoja?
Umeandika kiswahili gani hiki?.
 
Uhuru amemrubuni Odinga, kuna mchezo umechezwa hapo, Uhuru ali-act kama yupo against Ruto but the reality wasn't like that!!
Mimi nilihisi hivyo kitambo, yale malumbano ya Ruto na Kenyatta yalikua maigizo tu.
 
Back
Top Bottom