Kenya 2022 Afisa wa Uchaguzi aliyetoweka akutwa amefariki

Kenya 2022 General Election
Kwani kuuwawa kwa afisa ni tafsir ya uchaguzi kutokua huru?
 
Afrika bado tuna safari ndefu sana, tuchokifanya ni demoghasia sio demokrasia!
 
Kwa kuwa hatufahamu kwanini wamemuua basi tu apumzike salama mtumishi...
 
Wanaharakati bado mnataka tukajifunze kenya?
Wafura Chibukati na Jecha tofauti yao iko wapi?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Yaitwa demokrasia, hapa chini wanampigia kura yule mbunge na mca wanaomtaka na ywaweza kua ametoka chama chengine. Kisha kura ya urais yakwenda kwa yule anayefaa kukalia hicho kitu.

Politics is local

Pamoja?
Umeandika kiswahili gani hiki?.
 
Uhuru amemrubuni Odinga, kuna mchezo umechezwa hapo, Uhuru ali-act kama yupo against Ruto but the reality wasn't like that!!
Mimi nilihisi hivyo kitambo, yale malumbano ya Ruto na Kenyatta yalikua maigizo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…