Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Usipanic mkuu!Nchi inachufuka kimataifa!
Mjiandae kwa miaka mitano ya kuendesha serikali bila mikopo na misaada kutoka kwa Wahisani na Mashirika ya Fedha ya Kimataifa kwa uhuni mlioufanya katika huu uchaguzi.Usipanic mkuu!
Bwashee umeshakubali yaishe!Mjiandae kwa miaka mitano ya kuendesha serikali bila mikopo na misaada kutoka kwa Wahisani na Mashirika ya Fedha ya Kimataifa kwa uhuni mlioufanya katika huu uchaguzi.
Imechafukaje subiri mshikishwe adabuNchi inachufuka kimataifa!
Kuna watanzania waliombea swala hili kwa kufunga na kumaanisha. Wengine mpaka makongamano ya wiki nzima na garama zilitumika, kama Mungu ndo ameamua iwe hivi. Au kama haya ndo majibu ya maombi. Ngoja tuone mwisho wake. Mungu hadhiakiwiMtatafuta pakupatia Kiki
Awamu hii mnalo
Mmeshakula za Uso
Sasa ni Magufuli tu
Yani.Mjiandae kwa miaka mitano ya kuendesha serikali bila mikopo na misaada kutoka kwa Wahisani na Mashirika ya Fedha ya Kimataifa kwa uhuni mlioufanya katika huu uchaguzi.
Maisha yatakuwa magumu mno tena mno. Hata hii miradi mikubwa sidhani Kama itaisha.Mjiandae kwa miaka mitano ya kuendesha serikali bila mikopo na misaada kutoka kwa Wahisani na Mashirika ya Fedha ya Kimataifa kwa uhuni mlioufanya katika huu uchaguzi.
Usiombee hilo litokee maana hali ya uchumi ilivyo mbaya tutakoma kabisaMjiandae kwa miaka mitano ya kuendesha serikali bila mikopo na misaada kutoka kwa Wahisani na Mashirika ya Fedha ya Kimataifa kwa uhuni mlioufanya katika huu uchaguzi.
Ajira tu mbaya na misaada ikakatwa situtakuwa ka zimbambweMaisha yatakuwa magumu mno tena mno.Hata hii miradi mikubwa sidhani Kama itaisha