Afisa wa Umoja wa Mataifa hapa nchini akana gari zilizotumia namba za UN huko Hai kwenye tukio la kushambulia walinzi wa Mbowe

Afisa wa Umoja wa Mataifa hapa nchini akana gari zilizotumia namba za UN huko Hai kwenye tukio la kushambulia walinzi wa Mbowe

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Ni Zlatan Milisic ambae ni UN Resident Coordinator kwa hapa nchini na ameandika hivi kupitia twitter:

Fake UN plates! I wish to clarify that cars with UN license plates reported in Hai today at more than one location have nothing to do with the UN. They are not UN cars; these are not official UN plates; they were not used by UN personnel. The matter was reported to the police.

UN.JPG


UN.JPG

 
Mtatafuta pakupatia Kiki
Awamu hii mnalo
Mmeshakula za Uso
Sasa ni Magufuli tu
 
The response came out quickly and swiftly.

This is how we manage information.
 
Mtatafuta pakupatia Kiki
Awamu hii mnalo
Mmeshakula za Uso
Sasa ni Magufuli tu
Kuna watanzania waliombea swala hili kwa kufunga na kumaanisha. Wengine mpaka makongamano ya wiki nzima na garama zilitumika, kama Mungu ndo ameamua iwe hivi. Au kama haya ndo majibu ya maombi. Ngoja tuone mwisho wake. Mungu hadhiakiwi
 
Siku zote nasema tunajifunza nini kupitia CCM wanacho kifanya “mtu yoyote akigusa sehemu inayokupa ugali au heshima usimpe nafasi.

Suluhu ya mambo aya ni katiba mpya.
 
Umoja wa Mataifa ni Taasisi ya Kimataifa yenye heshima kubwa mno, inaaminika dunia nzima, kwa ufupi UN ndio walinzi wa Amani wa dunia hii.

Kwa mtu duni kabisa kama Sabaya kuitumia Taasisi kama hii kwenye njama zake za mauaji ili apandishwe cheo ikiwa kama Magufuli atashinda uchaguzi ni jambo la aibu kubwa sana kwa nchi ya Tanzania, ni fedheha kubwa kuliko mtu mzima kujiharishia sokoni, hii nchi sasa ni kama ghetto la wavuta bhangi wanaokula unga pia.

Kwa vile Polisi wa Tanzania hawajawahi kuchukua hatua kwa mtu kama Sabaya kwa vile anatumwa, basi Natoa wito kwa UN ambayo ipo hapa Tanzania kujitokeza na kuchukua hatua ili kulinda Heshima yake

DC wa Hai Ole Sabaya akiwa na gari yenye namba @UN na silaha nzito za moto ameon ( Original ).jpg
IMG_20201028_194549.jpg
IMG_20201028_194542.jpg
IMG_20201028_194536.jpg
IMG_20201028_194523.jpg
IMG_20201028_194514.jpg
 
Mjiandae kwa miaka mitano ya kuendesha serikali bila mikopo na misaada kutoka kwa Wahisani na Mashirika ya Fedha ya Kimataifa kwa uhuni mlioufanya katika huu uchaguzi.
Maisha yatakuwa magumu mno tena mno. Hata hii miradi mikubwa sidhani Kama itaisha.
 
UN resident coordinator kakanusha haraka, he is in trouble kwa kweli, waliotumia hizo plate number walikuwa na lengo la kuchafua UN
 
Mjiandae kwa miaka mitano ya kuendesha serikali bila mikopo na misaada kutoka kwa Wahisani na Mashirika ya Fedha ya Kimataifa kwa uhuni mlioufanya katika huu uchaguzi.
Usiombee hilo litokee maana hali ya uchumi ilivyo mbaya tutakoma kabisa
 
Back
Top Bottom