AFL: Esperence De Tunis Vs Tp Mazembe | 2nd leg | Stadium: Stade Olympique Hammadi Agrebi | 26.10.2023

Mnaangalizia channel gani
Kama upo Tanzania au Afrika kusini kuangalia mechi hii ni mpaka utumie VPN

Wewe upo Tanzania gani labda,Mechi ipo Azam Sports 2HD
 
45

Esperence wanapata bao kupitia kwa mchezaji wao Meriah
 
Hawa wote vibonde tungepewa mmoja ingekua mzuka sana. Simba tunapakata hawa wachumba sana.
Simba hata angepewa nani droo ingeihusu tu. Msimu wa mashindano ya CAF tokea yaanze hakuna mechi iliyoshinda na mechi ya Asec anaanzia Dar na sare itahusika tena.
 
Simba hata angepewa nani droo ingeihusu tu. Msimu wa mashindano ya CAF tokea yaanze hakuna mechi iliyoshinda na mechi ya Asec anaanzia Dar na sare itahusika tena.
Sawa sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…