PD_Magumba
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 722
- 2,225
Hii ndo ingefaa zaidi mbele ya Rais wa FIFA, CAF na Wenger. HahahaaaKipa kacheza mipira yote miwili ya hatari
Kacheza penati na mpira ulivyomrudia adui akapiga shuti, kipa akacheza tena.
Namtegemea huyu kuwa Man of the match