PD_Magumba
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 722
- 2,225
Hii ndo ingefaa zaidi mbele ya Rais wa FIFA, CAF na Wenger. HahahaaaKipa kacheza mipira yote miwili ya hatari
Kacheza penati na mpira ulivyomrudia adui akapiga shuti, kipa akacheza tena.
Namtegemea huyu kuwa Man of the match
Basi hata X2Kwa hawa jamaa ni ngumu kutoboa maana wana derby yao
Upo sahihi mkuu, sisi Yanga hatuna kabisa uwezo wa kucheza super leaguePira linalopigwa hapa ni heri timu yangu ya wananchi haipo, mana hii shuguli tusingeiweza.
Mbumbumbu kwenye ubora wenu.Upo sahihi mkuu, sisi Yanga hatuna kabisa uwezo wa kucheza super league
Afadhali hata Simba wameanzia robo.Hivi mwiko nyuma kaanzia wapi?Mbumbumbu kwenye ubora wenu.
Hata michuano ikianzia robo munaishia hapo hapo robo [emoji23][emoji23][emoji23]
Mna miaka 25 mingine ya kufika hiyo robo unayo idharauMbumbumbu kwenye ubora wenu.
Hata michuano ikianzia robo munaishia hapo hapo robo [emoji23][emoji23][emoji23]
Mamelody atashindaHii mechi kama haijaisha kwa sare sijui
Kamba tayariSio rahisi tena anaweza hata akapigwa