Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
Hata huku hivyo hivyoAzam Sport 2 HD ila TANESCO saa 12 kamili wamechukua chao hapo nilipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata huku hivyo hivyoAzam Sport 2 HD ila TANESCO saa 12 kamili wamechukua chao hapo nilipo
nawaangalia hapa, hawa wangecheza na simba au yanga, wangeshafungwa hadi sasaivi. mpira wao haupo organized utafikiri ni wa mtibwa au mbao fcBaada ya kushuhudia match ya ufunguzi wa michuano bora hapo jana kwenye dimba la Benjamín Mkapa
Ufunguzi wa michuano yenye thamani zaidi Africa inayojulikana kwa jina la African Football League (AFL)
Match ambayo iliwakutanisha Big fish wawili ambao walitoshana nguvu na kutoa burudani ya kandanda safi mbele ya Raisi wa FIFA, Raisi wa CAF bila kumsahau Mzee Wenger.
Simba ambao FIFA wanasema ndio icon ya Football kwa ukanda huu wa CECAFA amekuwa mwakilishi pekee Afrika mashariki na kati.
Leo tena ni mechi ya pili ndani ya jiji la Angola katika dimba la Estádio 11 de Novembro.
Mchezo kati ya Petro de Luanda na Mamelodi Sundowns kutoka South Afrika.
Mchezo unatarajiwa kuwa mzuri na wenye ushindani (kwasababu hakuna washuka daraja kwenye hii tournament)
Mechi ni saa 18:30
Ingia Facebook search page ya African football league wameweka link ya gameKuna link yoyote ya kuchekia?
Mamelodi kama kayatimba hivi au mimi ndo naona vibaya?
Azam sports 2 hdChanel gani inarushwa?
azam sports HD 2Chanel gani inarushwa?
mamelod. iNani ambaye hayupo organized?
Ni simba tu mkuu, yanga hana uwezo wa kucheza Super leaguenawaangalia hapa, hawa wangecheza na simba au yanga, wangeshafungwa hadi sasaivi. mpira wao haupo organized utafikiri ni wa mtibwa au mbao fc
Wapi sasa? Petro au Mamelod?nawaangalia hapa, hawa wangecheza na simba au yanga, wangeshafungwa hadi sasaivi. mpira wao haupo organized utafikiri ni wa mtibwa au mbao fc
yanga angecheza na al ahly jana, angewafunga.Ni simba tu mkuu, yanga hana uwezo wa kucheza Super league
Usiwe na hofu mkuu, watarudi tena mwezi ujao mcheze nao muwafungeyanga angecheza na al ahly jana, angewafunga.
Hyo ni timu ya mtaaniYanga kwa nini haimo?