AFL: Petro de Luanda 0 - 2 Mamelodi Sundowns | 21.10.2023

AFL: Petro de Luanda 0 - 2 Mamelodi Sundowns | 21.10.2023

Calinhos kabadilika sana kuichezaji tough game siku hizi anaziweza
 
Kona ya pili wanapiga tena Petro De Luanda, mchezaji anapiga kichwa lakini mpira unaenda nje ya lango
 
Ila wachezaji wa Mamelodi wafupi sana, hii haita waathiri hususani kwenye set pieces. ?
 
Aiseee imekuwaje hapa na refa anaamuaje?
 
Penati ya kwanza kwa michuano hii

Wamekosaaaaaaaa
 
Aiseeee huu mpira wa kiume
 
Kipa kacheza mipira yote miwili ya hatari

Kacheza penati na mpira ulivyomrudia adui akapiga shuti, kipa akacheza tena.

Namtegemea huyu kuwa Man of the match
 
Zimeongezwa dakika 2 kumalizia kipindi cha kwanza
 
Pira linalopigwa hapa ni heri timu yangu ya wananchi haipo, mana hii shuguli tusingeiweza.
 
Back
Top Bottom