Mzee Wa Rubisi
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,757
- 442
1 - 0Result please
Wewe nini
Ndio hivyo mkuu,jana si ulimsikia m/kiti anaongea kama mtoto darasa la kwanza ..Yule ashalishwa limbwata,anaburuzwa tu...Umeandika kweli kabisa....mimi mwenyewe nawaombea Yanga ushindi ili roho zituume tuwaondoe wale mabedui pale.....
ndio unaonekanaWewe nini
Toka kitambo sana mimi nipondio unaonekana
Sisi East Africa inabidi tujifunze hizi fitina,wakija huku tunawapokea vizuri tukienda kwao wanatuanyia fitinaCAF wanauwa mpira wa Africa.
Kila kona magumashi mbwa hawa ndio maana Africa haiki popote kwenye mashindano yakidunia.