Africa Confederation Cup: Sagrada vs Yanga at Nelson Mandela Stadium

Africa Confederation Cup: Sagrada vs Yanga at Nelson Mandela Stadium

CAF wanauwa mpira wa Africa.

Kila kona magumashi mbwa hawa ndio maana Africa haiki popote kwenye mashindano yakidunia.
 
Umeandika kweli kabisa....mimi mwenyewe nawaombea Yanga ushindi ili roho zituume tuwaondoe wale mabedui pale.....
Ndio hivyo mkuu,jana si ulimsikia m/kiti anaongea kama mtoto darasa la kwanza ..Yule ashalishwa limbwata,anaburuzwa tu...
 
993e4e837bb617eca943947b0fc9f147.jpg
 
Hapa sasa nafsi imepoa mwaka mzuri huu bado mei 28 tu vijana wa Zizzu wakamilishe kazi iliyobaki.
 
CAF wanauwa mpira wa Africa.

Kila kona magumashi mbwa hawa ndio maana Africa haiki popote kwenye mashindano yakidunia.
Sisi East Africa inabidi tujifunze hizi fitina,wakija huku tunawapokea vizuri tukienda kwao wanatuanyia fitina
 
Back
Top Bottom