Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu tunajambishanaYANGA 0- GDS 2
Kuwa mstaarabu. Timu inawakilisha nchi.Huko Malinzi hayupo awasaidie? Poleni sana.
vyura na wapigwe tuYanga wacheze kwa tahadhari, ila wafanye juu chini wachomeke kimoja tu, hesabu za waangola zitakuwa zimeharibika!!
mungu Ibariki Yanga ili itutoe kimasomaso watanzania
Mungu anaweza akawatoa kimasomaso na wa Angola pia, watu wote ni wa Mungu na imeandikwa mpende adui yakoSema ikutoe kimasomaso wewe sio Watanzania wote uwaweke kwenye kapu la Yeboyebo.
Mimi sio Snura fc ila ngoja washinde.vyura na wapigwe tu
yeboyebo hawatakiwi kushinda yani wapigweMimi sio Snura fc ila ngoja washinde.
Mungu anaweza akawatoa kimasomaso na wa Angola pia, watu wote ni wa Mungu na imeandikwa mpende adui yako