Africa Confederation Cup: Sagrada vs Yanga at Nelson Mandela Stadium

Africa Confederation Cup: Sagrada vs Yanga at Nelson Mandela Stadium

Level of civilisation of Angolans is very low, that why they are always in wars
 
FT Sagrada Esperanca 1 - 0 Young Africans

flash.gif
49' Medeama SC 1 - 0 Mamelodi Sundowns

hongera Yanga Afrika!!
 
Yanga tuna timu nzuri tunapaswa kujifunza fitina ,timu zikija hapa tuzifanyie mizengwe kama wao wanatufanyia
 
Sisi East Africa inabidi tujifunze hizi fitina,wakija huku tunawapokea vizuri tukienda kwao wanatuanyia fitina

Swala sio kufanya fitna kama wao
Solution ni awa wahuni wa caf wakomeshe upuuzi huu

Hawa waamuzi nao ni magoigoi tuu yananunuliwa sana inamaana awa wahuni wa caf awawaoni wanavyovuruga?
 
Swala sio kufanya fitna kama wao
Solution ni awa wahuni wa caf wakomeshe upuuzi huu

Hawa waamuzi nao ni magoigoi tuu yananunuliwa sana inamaana awa wahuni wa caf awawaoni wanavyovuruga?
Kitendo cha sisi kuwa kimya ndio maana jamaa wanatuchezea watakavyo na CAF wamekaa kimya .
 
Watu hswawezi mpira wanalazimisha! Hivi kwa nini CAF wanaruhusu huu ujinga? Mpira wa Afrika utaendelea kweli namna hii? TFF mlifanyie kazi hili!
 
Back
Top Bottom