Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Wameshau tulikomboa toka makucha ya Mreno. Mbuzi kabisa hawa.hawa angola ***** zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameshau tulikomboa toka makucha ya Mreno. Mbuzi kabisa hawa.hawa angola ***** zao
Yanga tuna timu nzuri tunapaswa kujifunza fitina ,timu zikija hapa tuzifanyie mizengwe kama wao wanatufanyia
Nichukue nafasi hii kukupongeza ndugu yangu kwa uzalendo na kujua utani ni kitu gani hongera KikulachoChako.Umeandika kweli kabisa....mimi mwenyewe nawaombea Yanga ushindi ili roho zituume tuwaondoe wale mabedui pale.....
Hapa ulikuwa una ripoti mechi ya dar ndio ilikuwa na idadi hiyo.YANGA 0- GDS 2
Dah cjui kwa kuwa watanzania hawapendi ugomvi ndo maana [emoji36] [emoji36] [emoji36]Mbona cc tukienda kucheza ugenini tunanyanyaswa sana wakati wenyewe wakija kwetu tunapokea vzr?
Hii ilikuwa mechi ya dar Anthony mateo ndio alifunga dakika za majeruhi.Wameongeza la pili dak za majeruhi!
Nichukue nafasi hii kukupongeza ndugu yangu kwa uzalendo na kujua utani ni kitu gani hongera KikulachoChako.
Pamoja sana ndugu yangu wengi hawalitambui hili.Vita yangu na Yanga ni hapa kwenye ligi tu...lakini inapokuja suala la kimataifa nakuwa nyuma yoyote anayeiwakilisha bendera ya taifa langu tukufu......
TANZANIA KWANZA.....
Kamisaa yupo labda kama kapewa chochote na WaangolaHivi Caf haitumi mwakilishi kwenye mechi za haya mashindano!!!!!!!!
Huyu refarii duuuuuh hatari sana, ila na sisi tuache kuwa wakatimu kiasi hiki.