Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Nawatakia kila la heri Ghana. Mimi sitaki kuumizwa na penati zao. Na lala.
 
Barry safari ile na Zambia penalty 7 hakuokoa hata moja, sijui leo itakuwaje ..
 
Naona KALOU kabadili jina kwenye jezi yake na kuwa KALOUNHO
 
Hii fainali ni ukumbusho wa fainali ya mwaka 1992 ambapo Ghana na Ivory Coast walipambana.

Mechi hiyo pia iliamua mshindi wa fainali na Ivory Coast akawa bingwa.

Leo naona tunapata tena uhondo kama wa wakati huo...
 
Ghana wanaanza kupiga...

Wakasso...anapata...
 
Back
Top Bottom