Africa Cup of Nations (AFCON) 2017, Special thread

Africa Cup of Nations (AFCON) 2017, Special thread

simba kwl ndo dhahabu yao maama wote walioperform wamepga kawaida sn...natumain cmba atapga frsh
 
Simba huyo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1484405602942.jpg
1484405613807.jpg
1484405621761.jpg
 
Ivi Tanzania haiwezi kweli hata kuandaa/kuwa mwenyeji wa African Cup of Nations..............Wizara ya Habari Michezo na Utamaduni, TFF, BMTL na wadau wengine......kuna mkakati wowote wa kujaribu kuomba Tanzania kuwa mwenyeji wa Mashindano ya Mbeleni ya African Cup of Nation???????
 
hajajua kucheza na mic bado cjui anajisahau....anarudia makosa yale yale...kuimba uku unaruka ruka lzm sauti ickike vbyaa....ila kajitahd
Tatizo anataka kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja...hata michael jackson tu kuimba na kucheza kunamsumbua...ila still chibu kafanya vyema.
 
Back
Top Bottom