Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
naona Davido anatumbuiza
[emoji23]Mc ana mbwembwe..anajitahidi kuchangamsha shughuli
hahaaaa. kwanini mkuuDiamond ni dancer sio performer nmekubali Leo!!
hajajua kucheza na mic bado cjui anajisahau....anarudia makosa yale yale...kuimba uku unaruka ruka lzm sauti ickike vbyaa....ila kajitahdDiamond ni dancer sio performer nmekubali Leo!!
Tatizo anataka kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja...hata michael jackson tu kuimba na kucheza kunamsumbua...ila still chibu kafanya vyema.hajajua kucheza na mic bado cjui anajisahau....anarudia makosa yale yale...kuimba uku unaruka ruka lzm sauti ickike vbyaa....ila kajitahd