Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
contry=countriesanakubalika sana French speaking country...ka revolutionize rap za ki wutang wutang kazipeleka Paris na akakubalika
mkuu sikiliza ngoma zake nyingine B20 sauti heavy-duty heavyweight
davdo yy si anajifnya mshua...ata dancers hajabebaAlafu kwa halaiki kama ile alitakiwa angalau asalimie kwa kifaransaba agalau watu waamke...alikua kama vile yuko chumban anamuimbia zari....davido na yeye ni kanjanja tu
ZBC 2Wanaonyesha channel gan?,natumi king'amzi cha azam
Shukuran mkuuZBC2
Davido kwisha kabisa naona hata watu hawana mpango nae asee....mziki huu basi tu ukipotea kurudi ngumu..davdo yy si anajifnya mshua...ata dancers hajabeba
Kombe limepoteza mfuto kabisaMbona watazamaji wachache?
kuhusu watazamaji aisee dahMbona watazamaji wachache?
mimi mpare ila nimemuelewa sanaBoob nahisi ni mGabon/msenegal huyu msela naona wanamuelewa sana uwanjani....ana swaga za kinyamwezi sana.
kweli kabisa, mshikaji bonge la Entertainer!!!Mc ana mbwembwe..anajitahidi kuchangamsha shughuli
Kwa uwanja mmojaIvi Tanzania haiwezi kweli hata kuandaa/kuwa mwenyeji wa African Cup of Nations..............Wizara ya Habari Michezo na Utamaduni, TFF, BMTL na wadau wengine......kuna mkakati wowote wa kujaribu kuomba Tanzania kuwa mwenyeji wa Mashindano ya Mbeleni ya African Cup of Nation???????
Hicho kimoja chenyewe wanakilingia utasema kinapasukaKwa uwanja mmoja
Kibaya ule wa bibi huweiz kuitumia ukiwa unatimika uke mkubwa ujinga wa PhDHicho kimoja chenyewe wanakilingia utasema kinapasuka
Diamond kaperform too normal . hakuna cha pekee kapoa sanaNaona Mondi anafunika watu sasa