Africa Cup of Nations (AFCON) 2017, Special thread

Africa Cup of Nations (AFCON) 2017, Special thread

Alafu kwa halaiki kama ile alitakiwa angalau asalimie kwa kifaransaba agalau watu waamke...alikua kama vile yuko chumban anamuimbia zari....davido na yeye ni kanjanja tu
davdo yy si anajifnya mshua...ata dancers hajabeba
 
upload_2017-1-14_18-25-33.png

Kwa walio mbali na TV zao, Mechi ikianza tumia hii link kuangalia, kupitia simu yako, tablet au PC , Count down dakika chache zimebakia

>>
 
Booba French wanapronounce Buba anajua sana halafu aina yake ya mziki hatumii nguvu kabisa-sikujua kama ataperfom Afcon
 
Ivi Tanzania haiwezi kweli hata kuandaa/kuwa mwenyeji wa African Cup of Nations..............Wizara ya Habari Michezo na Utamaduni, TFF, BMTL na wadau wengine......kuna mkakati wowote wa kujaribu kuomba Tanzania kuwa mwenyeji wa Mashindano ya Mbeleni ya African Cup of Nation???????
Kwa uwanja mmoja
 
Hapa mnanichanganya ambae Niko njiani huku mnaponda wengine mnasikifia
 
Back
Top Bottom