Africa Cup of Nations (AFCON) 2017, Special thread

Africa Cup of Nations (AFCON) 2017, Special thread

1484409453427.jpg
 
Huyu Domo anatakiwa akasajiliwe twanga maana ni performer kuimba hajui.
 
yah ni kweli....mbn mahombi mwenzie katulia frsh...alikua akiruka ruka anakaa kimya...akiimba anaacha kuruka ruka....yn kuimba na kucheza vnapokezana
Wabongo katika ubora wenu
wewe Fundi umeongea.....sure embu angalia booba anavokamua na sauti inasikika classic na anakamua fresh heavy voice

Tatizo anataka kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja...hata michael jackson tu kuimba na kucheza kunamsumbua...ila still chibu kafanya vyema.

Pole sana Chibu, hiyo Flag INA GUNDU.... Umechemsha sana Hommie

hana sauti kabisa yule ni dansa tu
 
kwa hiyo unataka kunisadikisha umbwiga=mbwiga
hiyo ni tafsir yko,nimetumia umbwiga kwa maana ya "acha maneno mengi" km mbigwa wa mbwiguke wa clouds sports extra au ww unapenda kujipa maana ya pili ya umbwiga?
 
hiyo ni tafsir yko,nimetumia umbwiga kwa maana ya "acha maneno mengi" km mbigwa wa mbwiguke wa clouds sports extra au ww unapenda kujipa maana ya pili ya umbwiga?
.................................@...................
 
Back
Top Bottom