Kakariri huyoMkuu usiichukulie poa Indonesia ni mojawapo ya taifa lenye nguvu kubwa za kiuchumi na kibiashara ulimwenguni.
Huijui Indonesia wewe.Eti Indonesia nayo inaitisha vikao na viongozi wa Afrika.
Wamefanya hayo Marekani, Rusia, Japani, Uingereza, nk.
Ni lini nchi moja ya Afrika itaitisha kikao na viongozi wa Ulaya au Asia? Yaani hao waje Afrika na ikibidi tuwaweke kwenye usafiri mmoja wakakutane na Rais wetu hapo Magogoni au Chamwino.
Yataenda kama makondooMorocco iko mbioni kuwaitisha
Hata Tanzania inaweza kuita viongozi wa UlayaEti Indonesia nayo inaitisha vikao na viongozi wa Afrika.
Wamefanya hayo Marekani, Rusia, Japani, Uingereza, nk.
Ni lini nchi moja ya Afrika itaitisha kikao na viongozi wa Ulaya au Asia? Yaani hao waje Afrika na ikibidi tuwaweke kwenye usafiri mmoja wakakutane na Rais wetu hapo Magogoni au Chamwino.
Hajaichukulia poa Indonesia.Mkuu usiichukulie poa Indonesia ni mojawapo ya taifa lenye nguvu kubwa za kiuchumi na kibiashara ulimwenguni.