Africa Forums: Indonesia nayo inaitisha vikao na viongozi wa Afrika

Africa Forums: Indonesia nayo inaitisha vikao na viongozi wa Afrika

Uchumi wa Indonesia ni nusu ya uchumi wa Africa. Na Indonesia Inatabiliwa kuwa miongoni mwa nchi zenye uchumi Mkubwa duniani
Mbona Marekani hakusanyi Viongozi wa America kusini au Carribean kule kwa akina Panama? Africa ina viongozi wapuuzi nashangaa sana hata viongozi wapya kama yule wa Senegal still wanaingia kwenye mfumo. China ina uchumi mkubwa sana Asia, mbona haikusanyi viongozi wa Asia, au mbona hakusanyi viongozi wa America kusini
 
Viongozi wengi wa Afrika ni wajing.a ndio maana wanaitwa & kukubali, mbona mataifa ya America ya Kusini viongozi wao hawaitwi kibwege bwege hivi?!.
 
Indonesia nominal GDP reached 20.892 quadrillion rupiah ($1.371 trillion) in 2023, it is the 16th largest economy in the world by nominal GDP and the 7th largest in terms of GDP (PPP). Indonesia's internet economy reached US$77 billion in 2022, and is expected to cross the US$130 billion mark by 2025.

Versus

As of 2024, the GDP of Africa was estimated at roughly 3.1 trillion U.S. dollars. This was the highest value since 2010 when the continent's GDP amounted to approximately 2.1 trillion U.S. dollars.

Umeelewa nguvu ya kiuchumi ya Indonesia??
 
Eti Indonesia nayo inaitisha vikao na viongozi wa Afrika.

Wamefanya hayo Marekani, Rusia, Japani, Uingereza, nk.

Ni lini nchi moja ya Afrika itaitisha kikao na viongozi wa Ulaya au Asia? Yaani hao waje Afrika na ikibidi tuwaweke kwenye usafiri mmoja wakakutane na Rais wetu hapo Magogoni au Chamwino.
Afrika ni KUBWA JINGA
 
Mkuu usiichukulie poa Indonesia ni mojawapo ya taifa lenye nguvu kubwa za kiuchumi na kibiashara ulimwenguni.
Sio kihivyo ,labda kwa sababu Africa is too poor
 
Eti Indonesia nayo inaitisha vikao na viongozi wa Afrika.

Wamefanya hayo Marekani, Rusia, Japani, Uingereza, nk.

Ni lini nchi moja ya Afrika itaitisha kikao na viongozi wa Ulaya au Asia? Yaani hao waje Afrika na ikibidi tuwaweke kwenye usafiri mmoja wakakutane na Rais wetu hapo Magogoni au Chamwino.
Nimemuelewa mleta mada anashangaa hadi kina Indonesia kuitisha vikao na viongozi wa Afrika kwa sababu hadi miaka ya 1950 nchi nyingi za Asia mfano Korea Kusini, Indonesia, Malaysia na Singapole zilikuwa zinafanana uchumi na nchi za Kiafrika.
Pengo lilianza kutokea baada ya miaka 1960 baada ya Afrika kuanza kupata wakoloni wapya ambao walijiita wapigania uhuru mpaka leo ambapo mtu aliyeshika ofisi anapambania tumbo lake na siyo future ya nchi!
 
Viongozi wa Afrika kama matahira hivi,na Ya nakubali tu kwenda kama mazuzu.

Kwanini wao wasije Adis ababa Ethiopia?
 
Viongozi wa Afrika lazima wawende huko kwa sababu wanaona watapata maokoto.

Huwezi kuwaita Indonesia Addis Ababa wakati huna hela za kuwapa.

Afrika hatutaki kutengeneza future ya vizazi vijavyo. Huko Indonesia, Korea Kusini, Malaysia kuna kizazi kilipambana na leo hii wanaitisha kikao na viongozi wa Afrika.

Ukipiga stori na watu wa Asia mfano Korea wanakwambia kabisa miaka ya 1950 tulikuwa tunafanana kimaendeleo na wala siyo stori za mtandaoni.
 
Eti Indonesia nayo inaitisha vikao na viongozi wa Afrika.

Wamefanya hayo Marekani, Rusia, Japani, Uingereza, nk.

Ni lini nchi moja ya Afrika itaitisha kikao na viongozi wa Ulaya au Asia? Yaani hao waje Afrika na ikibidi tuwaweke kwenye usafiri mmoja wakakutane na Rais wetu hapo Magogoni au Chamwino.
Indonesia Ina Uchumi Mkubwa 2/3 ya Africa yote combined.
Screenshot_20240905-131730.jpg
 
Eti Indonesia nayo inaitisha vikao na viongozi wa Afrika.

Wamefanya hayo Marekani, Rusia, Japani, Uingereza, nk.

Ni lini nchi moja ya Afrika itaitisha kikao na viongozi wa Ulaya au Asia? Yaani hao waje Afrika na ikibidi tuwaweke kwenye usafiri mmoja wakakutane na Rais wetu hapo Magogoni au Chamwino.
Niache nicheke kwanza
Anyway yatawezekana pale tutakapoanza kuzipelekea hizo nchi mitumba
 
Viongozi wa Afrika kama matahira hivi,na Ya nakubali tu kwenda kama mazuzu.

Kwanini wao wasije Adis ababa Ethiopia?
Kama wewe hapo mtaani kwako unaitiwa ubwabwa na Tajiri wa mtaani sembuse Nchi kwenda kupata fursa za mikopo nafuu, biashara na Elimu?
 
Kama wewe hapo mtaani kwako unaitiwa ubwabwa na Tajiri wa mtaani sembuse Nchi kwenda kupata fursa za mikopo nafuu, biashara na Elimu?
Nashukuru Mungu kipaumbele changu sio Ubwabwa.
Inaonekana Wewe unaweza mpeleka mkeo kwa jirani akakope kwa mashart nafuu

Back to the point.
There is no free lunch mdogo wangu.
Indonesia wanapata wapi pesa za kukukopesha wewe? Bila shaka ni kwenye kodi za wananchi wao.
Yaan mimi Nitoe kodi za wananchi wangu kukupa wewe kama mkopo nafuu bila mashart yoyote?
.
 
Leta uchumi wa Nchi yeyote ya Afrika unaikaribia hapa 👇
Screenshot_20240905-131730.jpg

Seems mumekariri hamjui mnachoongea.

Asia ni
China
India
Indonesia
 
Back
Top Bottom