Africa Forums: Indonesia nayo inaitisha vikao na viongozi wa Afrika

Leta uchumi wa Nchi yeyote ya Afrika unaikaribia hapa 👇View attachment 3088472

Seems mumekariri hamjui mnachoongea.

Asia ni
China
India
Indonesia
Hakuna aliekataa Uchumi wa Indonesia ni imara na ni mkubwa dogo.

Swali wamefikaje huko? wew kwenda kupata mikopo nafuu yeye anapata Nini? Kuna vitu viongozi wenu hawawaambii hasa mashart ya hiyo mikopo.Samia alisema wanadharirika bado tu hufunguki.
 
Unauliza swali la kijinga kubwa jinga kabisa.

Unapouza bidhaa Yako sokoni Huwa mnabadilishana nini? Bidhaa Kwa bidhaa au bidhaa Kwa Huduma by medium of exchange ambayo ni pesa.
 
Nimekuuliza wewe unampa Nini?akikupa mkopo nafuu.Bila shaka ni resources.Ambazo atazitumia kuzalisha mali wewe ukifanya nini?
 
Kwani mikopo Haina riba? Pili kwani alisema umpe slots za uwekezaji kwenye sekta anazotaka kuna shida?
 
Back
Top Bottom