The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Hakuna aliekataa Uchumi wa Indonesia ni imara na ni mkubwa dogo.Leta uchumi wa Nchi yeyote ya Afrika unaikaribia hapa πView attachment 3088472
Seems mumekariri hamjui mnachoongea.
Asia ni
China
India
Indonesia
Unauliza swali la kijinga kubwa jinga kabisa.Hakuna aliekataa Uchumi wa Indonesia ni imara na ni mkubwa dogo.
Swali wamefikaje huko? wew kwenda kupata mikopo nafuu yeye anapata Nini? Kuna vitu viongozi wenu hawawaambii hasa mashart ya hiyo mikopo.Samia alisema wanadharirika bado tu hufunguki.
Tumia staha,na uwe mtulivu tutaelewana, ila ukitaka matusi yapo piaUnauliza swali la kijinga kubwa jinga kabisa.
Unapouza bidhaa Yako sokoni Huwa mnabadilishana nini? Bidhaa Kwa bidhaa au bidhaa Kwa Huduma by medium of exchange ambayo ni pesa.
Nimekuuliza wewe unampa Nini?akikupa mkopo nafuu.Bila shaka ni resources.Ambazo atazitumia kuzalisha mali wewe ukifanya nini?Unauliza swali la kijinga kubwa jinga kabisa.
Unapouza bidhaa Yako sokoni Huwa mnabadilishana nini? Bidhaa Kwa bidhaa au bidhaa Kwa Huduma by medium of exchange ambayo ni pesa.
Kwani mikopo Haina riba? Pili kwani alisema umpe slots za uwekezaji kwenye sekta anazotaka kuna shida?Nimekuuliza wewe unampa Nini?akikupa mkopo nafuu.Bila shaka ni resources.Ambazo atazitumia kuzalisha mali wewe ukifanya nini?
Acha kukuza mambo mkuu. Ni nchi ya kawaida sana.Huijui Indonesia wewe.