Africa from space at night.

Africa from space at night.

NairobiWalker

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
14,267
Reaction score
14,890
FB_IMG_1633013348600.jpg
 
A picture is worth a thousand words. Atleast sisi tumejaribu. Majirani zetu wamekataa kuwasha stima. Anyway Africa bado we are struggling sana.
The image is Clear Tanzania kunawaka zaidi
 
The image is Clear Tanzania kunawaka zaidi
Tanzania yote haiwaki isipokuwa Dar. Dar kunawaka kamwangaza kadogo. Hebu Tazama Tanzania hapo karibu na bara la hindi utaona Dar inawaka lakini mwangaza wake ni mdogo kushinda wa Nairobi. Angalia mwangaza ambao upo kulia mwa Lake Victoria, huo mwangaza ni wa Nairobi na maeneo yaliyozunguka Nairobi.
 
Tanzania kidogo tu hapo dar, sehemu nyingine ni nairobi huko na kampala ,south ndio pako moto
 
Kwa mujibu wa hiyo picha kampala ina mwanga zaidi, je ni kweli jiji la Dar es salaam laweza kuzidiwa na kampala kwa ukubwa? Totally no!
 
Kwa mujibu wa hiyo picha kampala ina mwanga zaidi, je ni kweli jiji la Dar es salaam laweza kuzidiwa na kampala kwa ukubwa? Totally no!
Jiji laweza kuwa kubwa ilahili halina mwangaza mwingi maanake mwangaza unatokana na taa za stima na majumba yanayowashwa taa usiku. Ebu angalia, Mbona Kinshasa ni Mara tatu kubwa zaidi ya Dar yet hapo Kinshasa kuna mwangaza kidogo kushinda Dar? Alafu Kinshasa yenyewe imeshikana na Brazzavillev - ukiziweka Pamoja zimeshinda Dar almost four times.
 
Back
Top Bottom