NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda picha inachukuliwa TZ tulishalala na huku tukilala huwa tunazima stima ili ku save energy buda.A picture is worth a thousand words. Atleast sisi tumejaribu. Majirani zetu wamekataa kuwasha stima. Anyway Africa bado we are struggling sana.
Ala! Kwani hamna street lights? Ama mkilala huwa mnazima street lights?Muda picha inachukuliwa TZ tulishalala na huku tukilala huwa tunazima stima ili ku save energy buda.
Yes tunazima tukilala. 😂Ala! Kwani hamna street lights? Ama mkilala huwa mnazima street lights?
Hahaha sawa. Endeleeni kuzima street lights ili m-save energy.Yes tunazima tukilala. 😂
Sehemu kubwa ya Afrika ni ushago (sijui nimepatia spelling)A picture is worth a thousand words. Atleast sisi tumejaribu. Majirani zetu wamekataa kuwasha stima. Anyway Africa bado we are struggling sana.
Haha. Umepatia spelling.Sehemu kubwa ya Afrika ni ushago (sijui nimepatia spelling)
Tanzania kuna waka zaidi
The image is Clear Tanzania kunawaka zaidiA picture is worth a thousand words. Atleast sisi tumejaribu. Majirani zetu wamekataa kuwasha stima. Anyway Africa bado we are struggling sana.
Tanzania yote haiwaki isipokuwa Dar. Dar kunawaka kamwangaza kadogo. Hebu Tazama Tanzania hapo karibu na bara la hindi utaona Dar inawaka lakini mwangaza wake ni mdogo kushinda wa Nairobi. Angalia mwangaza ambao upo kulia mwa Lake Victoria, huo mwangaza ni wa Nairobi na maeneo yaliyozunguka Nairobi.The image is Clear Tanzania kunawaka zaidi
Egypt pia kwa mafaraoh kunawaka bila mchezo.Tanzania kidogo tu hapo dar, sehemu nyingine ni nairobi huko na kampala ,south ndio pako moto
Hata za traffic lights mnazima?Muda picha inachukuliwa TZ tulishalala na huku tukilala huwa tunazima stima ili ku save energy buda.
Yani hiyo Mbeya yenye munashinda humu mkichocha eti city sioni hata kadot kamoja.Tanzania kuna waka zaidi
Jiji laweza kuwa kubwa ilahili halina mwangaza mwingi maanake mwangaza unatokana na taa za stima na majumba yanayowashwa taa usiku. Ebu angalia, Mbona Kinshasa ni Mara tatu kubwa zaidi ya Dar yet hapo Kinshasa kuna mwangaza kidogo kushinda Dar? Alafu Kinshasa yenyewe imeshikana na Brazzavillev - ukiziweka Pamoja zimeshinda Dar almost four times.Kwa mujibu wa hiyo picha kampala ina mwanga zaidi, je ni kweli jiji la Dar es salaam laweza kuzidiwa na kampala kwa ukubwa? Totally no!
Bro,@Chaliifransico give a you jokingly answered your question( Tuna zima tukilala).The puzzle has been solved which Maulla CEO Geza Ulale Has no take or youtube clips.Hata za traffic lights mnazima?