Bulelaa
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 1,342
- 3,247
Ndiyo!
Africa mpaka sasa sifahamu ni nchi gani ambayo viongozi wake wakikohoa, kina Kagame wanakaa kimya
Congo, watu wake wanapata tabu sana kwa vita ambavyo tangu nimekuwa na akili nasikia tu wanauwana na sababu kuu ni vijimajeshi vya nchi za Waafrica wenzao kutumwa kwenda kupora mali za nchi hiyo kinguvu,
Wacongo wanakufa, Sudani wanakufa, na hakuna sauti yoyote kutoka kwa viongozi mbalimbali wa nchi zetu za Africa
Hii inamaanisha hakuna taifa lenye uwezo kijeshi dhidi ya vi nchi vichokozi vinavyosababisha nchi zingine zisiwe na amani?
Ulaya licha kwamba wanaejeshi la pamoja, Lakini kuna mkubwa wao, huyo akikohoa, Ukraine inapata nafuu
Akikohoa, Asian inakaa kimya, America inaishi kwa amani, licha ya hivyo, bado hata huko Asia kuna super power wao naye akikohoa, Asia inatulia, vilevile mabara mengine, mfano hapo Middle, Israel na au Iran wakikohoa, Waarabu wa pande hizo wanatii!
Africa ni nani USA wetu, Israel wetu, Russia wetu na ama China wetu atakayekuwa akikohoa ili Congo iwe na amani?
Na kama wapo,
Mbona hatusikii?
Africa inahitaji super power wake wa kukohoa ili wengine waishi kwa amani