Africa inahita nchi moja wapo kuwa super power wa nchi zote, la sivyo! Congo itaendelea kuonewa na kila viongozi wa vinchi vya ajabu!

Africa inahita nchi moja wapo kuwa super power wa nchi zote, la sivyo! Congo itaendelea kuonewa na kila viongozi wa vinchi vya ajabu!

Siku Congo ikiwa huru Africa yote itaendelea. Na Mzungu hata kubali hilo litokee
huez juwa ya kesho , USA aliisaidia China na Urusi kujikomboa dhidi ya Japan na Hitler ila angalia leo
 
Congo inavuna laana za kina Patrice Lumumba wacha wapambane na hali yao. Africa inatakiwa kuungana kuwa Taifa moja Lenye Kutumia Sarafu Moja Lugha Moja etc Kitu ambacho hakitokuja kutokea Kaburu Alishatake over Africa viongozi wanaangalia kwanza matumbo yao.Pathetic
 
Back
Top Bottom