Congo inavuna laana za kina Patrice Lumumba wacha wapambane na hali yao. Africa inatakiwa kuungana kuwa Taifa moja Lenye Kutumia Sarafu Moja Lugha Moja etc Kitu ambacho hakitokuja kutokea Kaburu Alishatake over Africa viongozi wanaangalia kwanza matumbo yao.Pathetic