Africa kuwa koloni la Wachina, nani alaumiwe?

Criterion

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2008
Posts
11,797
Reaction score
11,891
Ongezeko la wachina katika Afrika linatokana na kwamba wanatupenda sana, na wanataka kutuendeleza?

Bila shaka kila mtu anajua wachina wanawachukia sana Waafrika. Kwa nini wanavamia kwa bidii sana bara la Africa?

Magufuli aliona wanachokiona wachina ambacho watu wa kawaida hawakioni.
Mwenye ufahamu aangalie hapa.

Baada ya haya yote, naona watu wanashadadia miradi ya kichina kana kwamba ni ushbiki wa mipira.
Karata iliyopo ni viongozi wetu kuona na kujali maslahi mapana ya taifa na siyo kujipendekeza kwa hawa watu ni wabaya sana. Ukoloni wao unaweza kuwa sawa na ukoloni wa waarabu.

Lakini je, sasa, kitu gani kifanyike?
 
kwao wako wengi hd wanapangiwa watoto wakuza wameamua kuja africa cha ajabu wapo hd machinga wakichina africa wanajifanya kwamba ni marafiki hawa jamaa wanalao jambo africa

miaka 50 mbele hawa jamaa watakua wengi sn africa lazima wawe na makoloni yao hk

africa kwa ss hawa jamaa tuwatumie tu ku transfer technology kwakua wako vizur ila sio kuwapa mambo ya msingi katika nchi kama bandari viwanja vya ndege na vitu vingne katika nchi
wataingia kwenye historia kua wakoloni wa afrika
 
Wachina ni mbwa,ni afadhali hata kuwa na akina magufuli 100 kuliko kuwa na wachina kama wakoloni wetu wapya,hebu fikiria wanasafirisha mpaka popo & panya kwenda uchina
 
Kama tunaitwa Beijing/ Washington kwa mafungu(China-Africa summit) hilo ni tusi kubwa sana, ni vile tu tumeamua kuwa blind.
1. siku vijana wakienda ulaya kuwekeza na siyo kuzamia kwa maana ya kufanya kazi za box
2. Kufanya intra africa trade yenye volume kubwa
3. Sauti ya Vetto power UN
4. Idadi sawa ya wafanya maamuzi kwenye mashirika ya UN na dada zake
4. Kutokutamani sana misaada ya USAID, SIDA etc zaidi kuwezesha jamii kufanya kazi
5. Kuondoa miradi yenye mrengo wa TASAF etc
6. Kuinua ubora wa elimu na serikali kuhakikisha zinatengeneza strong bases za private sectors zenye ushindani wenye nguvu ndani na nje ya Afrika
7. Kuwekeza kwenye tafiti na teknolojia.
8. kuwekeza kwenye intelligence
 
kwao wako wengi hd wanapangiwa watoto wakuza wameamua kuja africa cha ajabu wapo hd machinga wakichina africa wanajifanya kwamba ni marafiki hawa jamaa wanalao jambo africa

miaka 50 mbele hawa jamaa watakua wengi sn africa lazima wawe na makoloni yao hk

africa kwa ss hawa jamaa tuwatumie tu ku transfer technology kwakua wako vizur ila sio kuwapa mambo ya msingi katika nchi kama bandari viwanja vya ndege na vitu vingne katika nchi
wataingia kwenye historia kua wakoloni wa afrika
Sasa waamuzi wetu nao wanaona hivyo? Huyo msoga anavyolazimisha kuwapa bandari ya Bmoyo kwa miaka 100 ana matatizo ya ufahamu, ama ana agenda ya Mangunga?
 
Wapumbavu the so called Viongozi wa Africa.

Ongezeko la wachina katika Afrika linatokana na kwamba wanatupenda sana, na wanataka kutuendeleza?

Bila shaka kila mtu anajua wachina wanawachukia sana Waafrika. Kwa nini wanavamia kwa bidii sana bara la Africa?

Magufuli aliona wanachokiona wachina ambacho watu wa kawaida hawakioni.
Mwenye ufahamu aangalie hapa.

Baada ya haya yote, naona watu wanashadadia miradi ya kichina kana kwamba ni ushbiki wa mipira.
Karata iliyopo ni viongozi wetu kuona na kujali maslahi mapana ya taifa na siyo kujipendekeza kwa hawa watu ni wabaya sana. Ukoloni wao unaweza kuwa sawa na ukoloni wa waarabu.

Lakini je, sasa, kitu gani kifanyike?
 
Ongezeko la wachina katika Afrika linatokana na kwamba wanatupenda sana, na wanataka kutuendeleza?

Bila shaka kila mtu anajua wachina wanawachukia sana Waafrika. Kwa nini wanavamia kwa bidii sana bara la Africa?

Magufuli aliona wanachokiona wachina ambacho watu wa kawaida hawakioni.
Mwenye ufahamu aangalie hapa.

Baada ya haya yote, naona watu wanashadadia miradi ya kichina kana kwamba ni ushbiki wa mipira.
Karata iliyopo ni viongozi wetu kuona na kujali maslahi mapana ya taifa na siyo kujipendekeza kwa hawa watu ni wabaya sana. Ukoloni wao unaweza kuwa sawa na ukoloni wa waarabu.

Lakini je, sasa, kitu gani kifanyike?
Alaumiwe Mbowe!
 
Sasa waamuzi wetu nao wanaona hivyo? Huyo msoga anavyolazimisha kuwapa bandari ya Bmoyo kwa miaka 100 ana matatizo ya ufahamu, ama ana agenda ya Mangunga?
tatz hlo
hyo miaka mingi sn tunatakiwa tujitafakari tutakuja kujuta kwakwel hk mbeleni
 
wachina wanaokujaga huku huko kwao

Lakini wana nia ya kuchukua ardhi Africa, maana kwao kama umeona clip hapo juu Ardhi ni tatizo.
Tusikubali kusaliti vizazi vyetu tena.https://youtu.be/RO3W5U0ryYw
 
Back
Top Bottom