Africa kuwa koloni la Wachina, nani alaumiwe?

Africa kuwa koloni la Wachina, nani alaumiwe?

Ajira zipi wewe, nyie mtapewa vibarua vya malipo ya kinyonyaji wachina ndio watapeta tu humo maofisini na itakuwa restricted zone ambayo wanaingia government officials tu na vibarua!
watu wanashindwa kuelewa vtu kwa mapana yake na ndio tatizo letu waafrica ,tunawaza tu kushibisha tumbo leo kesho itajisumbukia yenyewe, akili fupi hawaelewi kwann Magufuli alikataa mradi wa bagamoyo
 
Katiba mpya ndio inayoweza kupunga majukumu ya kimamuzi kwa viongozi
 
hili swala la wachina sio la kubeza kabisa
 
Back
Top Bottom