Africa kuwa koloni la Wachina, nani alaumiwe?

Africa kuwa koloni la Wachina, nani alaumiwe?

Wapumbavu the so called Viongozi wa Africa.
🤣👇
NA.May_.2016.African.Leaders.and_.China_.jpg
 
Tanzania, tafuteni namna nyingine ya kupata fedha za maendeleo. Wachina si binadamu. Wanawatumia kama ilivyokuwa kwa wakoloni kujipendekeza kwa watawala, watawala wakajitenda na raia wao, mwisho vilio kwa wote. Look what is now happening in Zimbabwe.
Kama wataendelea na ubabe, wanaikabidhi nchi kwenye mikono ya dragon regime. Watanzania, Watanzania, Watanzania amkeni.

Africa inahitaji sana viongozi wenye maono kama Magufuli tatizo viongozi wetu Africa wengi vilaza angalia kama Mugabe ,Mugabe alivunja mahusiano na wazungu akizani Mchina ndie rafiki wa kweli lakini kinachoitokea Zimbabwe saivi ni kilio.
 
Bogus Point!
 
Seriously ndani ya karne hii unaamini wachina wanaweza kuja kututawala kama wakoloni?
 
Ongezeko la wachina katika Afrika linatokana na kwamba wanatupenda sana, na wanataka kutuendeleza?

Bila shaka kila mtu anajua wachina wanawachukia sana Waafrika. Kwa nini wanavamia kwa bidii sana bara la Africa?

Magufuli aliona wanachokiona wachina ambacho watu wa kawaida hawakioni.
Mwenye ufahamu aangalie hapa.

Baada ya haya yote, naona watu wanashadadia miradi ya kichina kana kwamba ni ushbiki wa mipira.
Karata iliyopo ni viongozi wetu kuona na kujali maslahi mapana ya taifa na siyo kujipendekeza kwa hawa watu ni wabaya sana. Ukoloni wao unaweza kuwa sawa na ukoloni wa waarabu.

Lakini je, sasa, kitu gani kifanyike?
Propaganda people paid yu for the work. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna video ya juzi mchina kala vitasa hadi akavujishwa ile wanaongea kiswahili kabisa!
 
Viongozi ndiyo wakulaumiwa...
Ndiyo, tutawalaumu wakati mwingine hawatakuwepo, familia zao zitakuwa kwenye matabaka ya juu, kwa kuwa wanauza nchi kwa ubinafsi wa kujenga familia zao. Tufanye nini ili haya mambo tuyakomeshe? Hakuna lisilowezekana.
 
Bogus Point!

Hawa ndio unaowatetea? Unadhani wanakuona wewe ni binadamu? Ona mama yako anazimia kisha anabebwa kwenye kijiko!

Wasikie wazimbabwe wenyewe labda utaelewa kuwapa wachina nchi ni kuikabidhi wananchi kwa shetani.

Wakati WAnachi wa Zimbabwe wakifanyiwa hayo, kwa ridhaa ya viongozi wa nchi yao, ona wachina wanavyojimlikisha Ardhi na kujeng miji yao. Unadhani wanakuja kujenga bandari ya bagamoyo kwamba wanakupenda sana? Hurumia watoto wako.

Mkuu makuwadi wa mkataba wa bagamoyo watakuja hapa kukupopoa mawe, wachina wame infiltrate nchi za ulaya na australia. Majuzi hapa wazungu kule australia walikuwa wameshika mabango wanaandamana kupinga uvamizi wa wachina........mchina anataka ateke na awe na influence dunia nzima. Huku afrika na njaa njaa zetu atakuja hadi kujenga ikulu..........
 
Leo wakinipopoa, japokuwa wanadhani ukuwadi huo unawapa maisha na vizazi vyao, lakini wajue kwamba watejenga nyumba hawatazikalia, watalima mazao watavuna wengine, watalia kwa kiu huku wana visima, watafungiwa laana ya machozi ya Wafrica kokote waendako. Tena wajihadhari sana. Huu wanaofanya ni uuaji wa watu wasio na hatia. Damu za watu wanazozisaliti hazita waacha salama.
 
Back
Top Bottom