Africa needs a second wave of armed struggle to gain independence from fellow black dictators, murderers, human rights violators and colonialists!

UKISOMA COMMENTS ZA HUMU JF UNAWEZA UKASEMA HII NCHI INAPINDULIWA HIVI KARIBUNI.....LAKINI UKIJA MTAANI HALI NI TOFAUTI KABISA........

KUNA WATU WANA UJASIRI WA KUANDIKA SANA JF......
 
Ambazo Amsterdam na TL wataziongoza? Mnaota sana. Sababu hajapata madaraka basi mnataka mpate kwa civil wars? Muanze civil wars za kifamilia kwanza. Otherwise ni utopolo mtupu
Hayo ni mawazo yako mfu na kukosa kufikiri kwa kina. Ethiopia kuna Lisu? Burundi kuna Lisu? Rwanda kuna Lisu?
If you are not prepared to respect basic human rights, expect anything from the oppressed......
 
Ni mjinga ndiye anayeweZa kusema Kagame anwatendea wanyarwanda haki, ni mjinga anayeweza kusema Jiwe anawatendea watanzania haki
 
Hayo ni mawazo yako mfu na kukosa kufikiri kwa kina. Ethiopia kuna Lisu? Burundi kuna Lisu? Rwanda kuna Lisu?
If you are not prepared to respect basic human rights, expect anything from the oppressed......
Ethiopia wanachongombania ni nini? Jimbo lililotaka kujitenga, limekuwa linatoa viongozi kwa muda mrefu sana. Kabila jingine limepewa dola, wameamua kuanzisha mapambano. And they will fail.

CDM hamjajipanga. Mnapewaje dola sasa? Hamjitambui, ndio mtatambua wengine? Unajua maana ya civil war? Mkishashiba mkakosa pakutolea waste, mnaanza kufikiri you can do anything and get away with it.
 
Wewe huna maana, nanikasema CDM? Nani ni Chadema?

Sababu wewe ni mshabiki kindaki ndaki wa chadema. Na umesema Tanzania ikiwemo.
Waulize waliopigana au wanaopigana mambo yanakuwaje.
Sio lazima mpewe dola. Anzisha biashar ya genge tujue moja
 
Sababu wewe ni mshabiki kindaki ndaki wa chadema. Na umesema Tanzania ikiwemo.
Waulize waliopigana au wanaopigana mambo yanakuwaje.
Sio lazima mpewe dola. Anzisha biashar ya genge tujue moja
Hata CCM ikitenda kadri ya imani yangu ya haki, nitaiunga mkono! Mtu au chama chochote kikitenda kadri ya imani yangu ya HAKI, nitakuwa upande wao!
 
Kwa uelewa wako unahis kila anachoongea mtu mweupe n sahihi,# labda uwezo wako wa kufikiria ndo umeishia hapo#
Issue si kasema nani, issue ni je anachosema ni kweli? Je Watawala wa kiafrika wanawaua waafika wenzao ili wabaki madarakani? Je watawala wa kiafrika wanawaibia waafrika wenzao kutumia madaraka yao?
 
Issue si kasema nani, issue ni je anachosema ni kweli? Je Watawala wa kiafrika wanawaua waafika wenzao ili wabaki madarakani? Je watawala wa kiafrika wanawaibia waafrika wenzao kutumia madaraka yao?
Ndugu yangu syo kwamba ndan ya nchi yenye waovu hakuna mcha Mungu hata mmoja,# am sorry kwa hoja inayohusu iman but point n hv Kama Kuna watawala walikuw hvo, waliopo hvo, na watakaokuwa hvo, haimaanish all Africans hakuna mwenye uwezo au roho ya uongozi, angalia akina Mandela,Nyerere na wengineo, wale n wazungu? Explainations please?
 
Umewahi kusomakitabu hiki: Julius K Nyerere
Servant of God or Untarnished tyrant? kitafute ukisome ndio utajua kuwa hujui
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Unaleta mambo ya kujua bro, v2 vngne unatumia logic tuu za kawaida syo mpaka uwe na reference, akil tuu ya kawaida unajua hii nyeusi hi nyeupe, but thanks nitakitafuta niongeze maarifa
 
Siwez kukulaumu labda uwezo wako wa kufikiria ndo umeishia hapo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, huwez tofautisha hata black and white
Kwani we uoni Hali halisi au we ni kipofu.Kwani uoni watawala wa kiafrica wakiwafanya waafrika wawe masikini,sio wezi,awanuki damu za watu?
 
Kwani we uoni Hali halisi au we ni kipofu.Kwani uoni watawala wa kiafrica wakiwafanya waafrika wawe masikini,sio wezi,awanuki damu za watu?
Tatzo mshajiwekea mindset kuwa viongozi wote wa Africa ni the same, hata mzr mnamuona mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ