- Thread starter
- #81
Under all intent and purpose, my focus was to incriminate Tanzania, I am surprised I did omit it from my discussion.Why you didn't mention Tanzania ? There is no any slightly difference from these countries you mentioned .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Under all intent and purpose, my focus was to incriminate Tanzania, I am surprised I did omit it from my discussion.Why you didn't mention Tanzania ? There is no any slightly difference from these countries you mentioned .
Enough of this!
It's taking us nowhere!
Kweli KabisaKwa hii trend inayoshika kasi ya udikiteita among African nations, I can predict kutakuwa na second wave of liberation struggle among African nations to gain their independence from fellow black colonialists! Angalia aina ya serikali katika nchi za Rwanda, Burundi, Uganda, Ethiopia, Zimbabwe to mention but a few-(ongezea za West Africa), ni wazi kwa mwendendo huu kuna civil wars zitaibuka Africa.
Mauaji ya waafrika wenzano, kutoheshimu Katiba za nchi zao, ukandamizaji, kupuuza haki za binadamu etc etc utafika wakati hayatavumilika. Time will tell!
My final comment on this:It takes us to the point that genes make up (genotype contrary to phenotype) is the one responsible for our behaviours, that means the different genes in races and so the different behaviours.
My final comment on this:
You obviously need to school yourself on the actual meanings of those two words - "phenotype/genotyp". It clearly shows you're misusing them.
My sincere advise is that, if you're interested in studying genetics, then start from the basics, genetics 101, then build your knowledge base gradually,rather than picking up words and using them haphazardly.Sir, I'm standing to be corrected for any mistake I've done.
.
My sincere advise is that, if you're interested in studying genetics, then start from the basics, genetics 101, then build your knowledge base gradually,rather than picking up words and using them haphazardly.
As a parting shot, be sure to know that there is nothing in genetics that distinguishes races.
Mbona hukumtaja Mkoloni wetu.... Au Siyo one of them. Charity starts at home.Kwa hii trend inayoshika kasi ya udikiteita among African nations, I can predict kutakuwa na second wave of liberation struggle among African nations to gain their independence from fellow black colonialists! Angalia aina ya serikali katika nchi za Rwanda, Burundi, Uganda, Ethiopia, Zimbabwe to mention but a few-(ongezea za West Africa), ni wazi kwa mwendendo huu kuna civil wars zitaibuka Africa.
Mauaji ya waafrika wenzano, kutoheshimu Katiba za nchi zao, ukandamizaji, kupuuza haki za binadamu etc etc utafika wakati hayatavumilika. Time will tell!
My sincere advise is that, if you're interested in studying genetics, then start from the basics, genetics 101, then build your knowledge base gradually,rather than picking up words and using them haphazardly.
As a parting shot, be sure to know that there is nothing in genetics that distinguishes races.
Lengo lilikuwa hasa yeye, nikaptiwa bila kumtaja.Mbona hukumtaja Mkoloni wetu.... Au Siyo one of them. Charity starts at home.
Unawasaidiaje waafrika wenzako walioko katika vita.Na hii itatokea kwenu nyie mlioingia Tanzania kutafuta hifadhi baada ya familia ya Mama yako kufukuzwa Kongo DRC kwa kumiliki vikosi vya uasi bila kujijua walikuwa wanatumiwa ili kuWaibia Madini kiurahisi na Baba yako Aliyekimbia Burundi nako akiwa kwenye kikundi cha uasi nako akiwa ni sehemu ya Wafanikisha uasi wa Burundi mwaka xx.
Kwa Kipindi nilichomshuhudia Zitto Kabwe na Tundu Antipas Lissu wanavyoichafua Tanzania na Watanzania wakiwemo wazazi wao, kwasababu ya kutafuta mbinu ya kushibisha Matumbo yao kama Mandondocha/Misukule imenishangaza saaana.
Tena wanafanyia uasi wa nchi kwenye Mataifa ambayo Mpaka sasa Wanatamani Kongo DRC ilirudi kuwa koloni lao (Ubeligiji - Wapo na Miradi ya Enabel lakini lengo lao nikutaka Kongo kusitawalike ili wairudishe kuwa sehemu ya milikiyao), Ujerumani- Wanawasapoti Vyama vya Upinzani vyenye ushawishi Kigoma, Arusha, Moshi/Kilimanjaro, Mbeya maeneo ambayo waliweka vituo maalum vya kusafirishia utajili wa Tanzania na nchi Jirani kwenda kuitajilisha Ujerumani na Mataifa ya Ulaya kupitia njia ya Reli ( Update Tani 1 ya Mzigo inasafirishwa kwa USD 1 hii ilikuwa ni makubaliano kupunguza mgogoro kati ya Mbeligiji, Muingereza na Mjerumani kuhakikisha wanasaidiana kuiibia Afrika kwa kuwatumia Mapapeti (Mfano Tundu Lissu na Zitto Kabwe)).
Watanzania hawa Wapuuza wanadhani hatujui Malengo yao na Mbinu zao, Hata cc Waafrika tuna Jambo letu la kuhakikisha Rasilimali zetu na utajili wetu tunaulinda kwa Maslahi Mapana ya Watanzania na Waafrika kwa ujumla.
You are right!
Bora the devil you know (wakoloni) than the "wolf in goats skin (ccm)" you don't know
Kwa hii trend inayoshika kasi ya udikiteita among African nations, I can predict kutakuwa na second wave of liberation struggle among African nations to gain their independence from fellow black colonialists! Angalia aina ya serikali katika nchi za Rwanda, Burundi, Uganda, Ethiopia, Zimbabwe to mention, but a few-TANZANIA IKIWA KINARA (ongez ea za WestAfrica), ni wazi kwa mwendendo huu kuna civil wars zitaibuka Africa.
Mauaji ya waafrika wenzano, kutoheshimu Katiba za nchi zao, ukandamizaji, kupuuza haki za binadamu etc etc utafika wakati hayatavumilika. Time will tell!
Huyu ni mtanzania anaongea hii pumba baada ya babu zetu kutoa dam kwa ajili ya kulinda hii nchi na rasilimali zake, kwa kweli we have a long way to go
Hujamuelewa, anasema ni afadhali kudhulumiwa na mtu usiyemjua kuliko kudhulumiwa na yule unayemjua.
Ukisha kuwa CCM akili huwa hakuna kichwani.. Hakuna anayejua kesho yetu ikoje. Hakuna aliyejua tanzania itatawaliwa na dikiteita kwa demokrasia tuliyokuwa tumefikia. Ya kesho hatuyajui maana na USA haikufikiria kutawaliwa na mtu kama Trumpnaweza nkakuhesabia hata 100 years from now hakuna movement yoyote itakuja kutokea! mnachosumbua nacho wanachi ni maandishi ya sheria ambayo watu hawana mda nayo, mtaishia kuita watu waje barabaran then mtaishia wenyewe barabaran maaana ndo upinzani wetu akili zpo nyuma
Thinking capacity yako ni very very low! Kwahiyo mababu zetu waliacha wosia kuwa Jiwe aue watu, avuje sheria, Katiba, avunje haki za biadamu.. Where is Ben Saanane> Where is Azory Gwanda, Where is Alphonce Mawazo? We got the so-called independence to get Killed by Jiwe? to be oppressed by Jiwe?Huyu ni mtanzania anaongea hii pumba baada ya babu zetu kutoa dam kwa ajili ya kulinda hii nchi na rasilimali zake, kwa kweli we have a long way to go