Africa needs a second wave of armed struggle to gain independence from fellow black dictators, murderers, human rights violators and colonialists!

Africa needs a second wave of armed struggle to gain independence from fellow black dictators, murderers, human rights violators and colonialists!

PUTIN: AFRIKA HAITOKAA IWE HURU

"Afrika haitokaa iwe HURU. Waafrika wanawaamini Wazungu, Wamarekani na Wachina zaidi kuliko wanavyojiamini wao wenyewe....hawajiamini wao wenyewe hata kidogo.

Mzungu au mtu mweupe anafanya makosa Afrika tena makosa ya jinai ila hakuna hatua za kisheria zitakazochukuliwa dhidi yake kwa sababu mamlaka za Afrika zinatutazama sisi weupe kama miungu, jambo ambalo liko mbali sana na ukweli.

Mtu mweusi (Mwafrika) anaweza kuteswa, kunyanyaswa na hata kuuawa kinyama Ulaya lakini hakuna mamlaka yoyote ya Afrika inayoweza kuuliza wala kuhoji.

Waafrika wamejikubali na kuamini kuwa wao ni watu DHAIFU wasio na tumaini haswa linapokuja suala la kupambana na Wazungu, Wamarekani na Wachina. Mzungu, Mmarekani au Mchina anaweza kumdhalilisha, kumtukana, kumpiga na hata kumuua Mwafrika katika ardhi ya Afrika tena kwenye nchi yake au nje ya Afrika na Viongozi wa Afrika wataliona hilo na kila mmoja atajiweka kana kwamba hakuona wala kusikia.

Adui wa Mwafrika ni Mwafrika. Mwafrika mpe silaha, pesa au ahadi ya madaraka madogo tu kwa sharti moja tu la kumuua Mwafrika mwenzake, atamuua kinyama kuliko ulivyotarajia. Adui wa Mwafrika sio mzungu, sio Mmarekani wala sio mchina. Adui wa Mwafrika ni AKILI na fikra zake na ndio maana leo Wazungu, Wamarekani, Waarabu na Wachina wameitawala tena Afrika kwa kutumia dini, Elimu, uchumi, teknolojia, siasa na utamaduni.

Waafrika ni watu wanaochukiana na wasioaminiana na ndio maana Afrika haiwezi kuungana na haitokaa iungane kuwa na dola imara. Chuki ya wenyewe kwa wenyewe na utengano ndio inayowapa wakoloni wao nguvu ya kuendelea kunyonya rasilimali za Afrika."

Je unakubaliana na Rais Vladmir Putin?
Je ni kipi unaweza kuongeza kuhusu Afrika?

Quote
 
Kwa hii trend inayoshika kasi ya udikiteita among African nations, I can predict kutakuwa na second wave of liberation struggle among African nations to gain their independence from fellow black colonialists! Angalia aina ya serikali katika nchi za Rwanda, Burundi, Uganda, Ethiopia, Zimbabwe to mention but a few-(ongezea za West Africa), ni wazi kwa mwendendo huu kuna civil wars zitaibuka Africa.

Mauaji ya waafrika wenzano, kutoheshimu Katiba za nchi zao, ukandamizaji, kupuuza haki za binadamu etc etc utafika wakati hayatavumilika. Time will tell!
Well said!
 
Mbona Tanzania hujai mention unaogopa nini?
Sema ongezea na Tanzania ya Magufuli dikteta uchwara. We need another armed struggle ili kujikomboa toka udikteta wa viongozi weusi wenye uchu,tamaa na uroho wa madaraka.
Is a time now to sing a song like our fellows in South Africa during a racist regime where they used to sung..."Where's my machine gun? Freedom is coming tomorrow..."
It is a slip of a pen, actually nililenga kuitaja Tanzania. Sorry for that omission!
 
Afrika haiwezi endelea sababu haina mifumo ya uongozi bora tofauti na wenzetu. Afrika yeyeto tu anaweza akawa kiongozi hata muhuni tu anaweza akawa kiongozi. Thus kuna madikteta ( zao la ukosefu wa malezi Bora utotoni).

Udikteta ujengwa utotoni afrika awaastudy background ya mtu Ili kujua ni mtu wa aina gani,thus hata muhuni anawezakuwa kiongozi. Wenzetu wapo makini na ufanya vetting ya kutosha kujua Hadi jinsi ulivyolelewa. Lengo kuu ni kuepusha watawala wezi, wauaji,waua uchumi.primitive, uncivilized,nk.
Ongezea pia hawachagui mtu mwenye njaa kuongoza bali wanahitaji aliye nacho tayari ili awe muongozo wa kuwainua wengine...angalia jinsi mtu awezaje kuwa rais wa USA au wale members wa House Of Commons Uingereza pale
 
Kwa hii trend inayoshika kasi ya udikiteita among African nations, I can predict kutakuwa na second wave of liberation struggle among African nations to gain their independence from fellow black colonialists! Angalia aina ya serikali katika nchi za Rwanda, Burundi, Uganda, Ethiopia, Zimbabwe to mention but a few-(ongezea za West Africa), ni wazi kwa mwendendo huu kuna civil wars zitaibuka Africa.

Mauaji ya waafrika wenzano, kutoheshimu Katiba za nchi zao, ukandamizaji, kupuuza haki za binadamu etc etc utafika wakati hayatavumilika. Time will tell!
I have to agree with this foresight.

Hii itakuwa ni 'phase' itakayogharimu maisha ya watu, lakini hatimae ukombozi utapatikana.
 
"A black person not only blackness lies on his/her skin but blackness is also entrenched deep into his/her mind." [emoji19]
What's wrong with "blackness"? Have you ever asked yourself that question?

Black as a color, not necessarily as a race, why do you think it is a bad color?
Who assigned it to be the wrong color among all the colors?
 
Kila mtu hum naona ankubal tuu hata haitaj kila.kitu ww unafuata iko hvy mnao ona kam mnateseka sio kwa maon yen yangekuwa yenu hata mim ningekuwa tayr Niko nanyi Koo weng wenu mnasikia saut za wazungu huu upuuz muache utasikia UN africa is under mine human rights na ww ndoo unaleta thread yako baada ya kusikia hata kufir mnakosea san kwnn hamjawaulz wao wanao fanya watuu weusi ubguzi hamuon hilo sioo kam huna acha kuongea kila siku wanazamisha boat za africa zinazo vuka kwenda huko kwao alafu unaongea unasem tunanyanyasan chanzo chake mbn inajulikan ni hao hao
You got a name 'Whackiest" a corruption of the word 'Wacky' which correctly reflects your character. Should it please you, I suggest you make it 'Wackiest' because that is what you are!
 
Kuna mtu kaniambia job ndugai n mgogo.
 
Porojo hizo Africa itaendelea kushine waambieni wanao watuma Africa ipo imara kuliko walivyotuacha.
 
What's wrong with "blackness"? Have you ever asked yourself that question?

Black as a color, not necessarily as a race, why do you think it is a bad color?
Who assigned it to be the wrong color among all the colors?

Don't get me wrong, I say blackness being a genetic entity, any blackman brain constitutes blackness as a result we black people do some things unique from other non black people.
 
Umaskini wa Kongwa upo reflected kichwani mwake. Ni maskini wa akili. Anataka kuliendesha Bunge kama familia ya Kongwa. Hii haiewezekani. Very soon he will be topped out. The second wave of liberation is not that much far.
Utotoni kama kwashiorkor haikumvaa marasmus alicheza nayo tu. Ubongo hukua kati ya miaka miwili na mitano. Baada ya hapo ubongo unakomaa tu. Kama haukukua ulidumaa. Nadhani huyu bwana alifaidika na ukataji majina ya mangi, mnyambara na nshomile ili mikoa mingine nao waende shule za juu. Naye anatoka mkoa wa upendeleo maalum hata kwenye elimu. Dhiki na ufukara anaosimulia mwenyewe visingemwachia kufaulu with flying colours. Hata kazi hajaipata by merits. Na sampuli hizo wanavyojua kujipendekeza. Yafaa kuwakimbia kama ukoma. Anatisha to say the least!
 
Don't get me wrong, I say blackness being a genetic entity, any blackman brain constitutes blackness as a result we black people do some things unique from other non black people.
So, it's black people to blame, not the 'black' color or condition of 'blackness'?

On the"blackman brain", I cannot be one who supports such self-hatred which in fact is a manifestation of bigotry.

There is nothing wrong with being black, just as there is nothing special being white or yellow. Lay your blame to specific individuals who you think reflect unbecoming behavior, not the entire race.
 
I 'm not condeming blackness rather I depict inherent differences between people of different skin colours, there are distinguishing characters and behaviours as per skin colours, had there been another distinguishing feature apart from the skin colour I would have adopted it as a reference but I don't find one, it seems God chose it for purpose.

The skin colour disparity serves as a distinguishing featute to difference races, many blacks are talents in sports, it is inherently in their genes, abuse of power by many black state men is a predominant trait, changing of constitution to remain in power and frustration of oppositions is another curse to African leaders who stands as mirrors to see inside out of Africans. Actions and traits of Africans (black skinned) co- relates to one another.

Within the black themselves there are disparities in characters and behaviours in accordance with tribal and locations, however skin colour will remain to be the most significant symbol of distinction of races.

Other people of different skin colours apart from the black also have shortcomings of their own, the most prominant one is racism.
 
Ongezea pia hawachagui mtu mwenye njaa kuongoza bali wanahitaji aliye nacho tayari ili awe muongozo wa kuwainua wengine...angalia jinsi mtu awezaje kuwa rais wa USA au wale members wa House Of Commons Uingereza pale

Mtu masikini hawezi ongoza watu bila kuwaletea umasikini
 
Kwa hii trend inayoshika kasi ya udikiteita among African nations, I can predict kutakuwa na second wave of liberation struggle among African nations to gain their independence from fellow black colonialists! Angalia aina ya serikali katika nchi za Rwanda, Burundi, Uganda, Ethiopia, Zimbabwe to mention but a few-(ongezea za West Africa), ni wazi kwa mwendendo huu kuna civil wars zitaibuka Africa.

Mauaji ya waafrika wenzano, kutoheshimu Katiba za nchi zao, ukandamizaji, kupuuza haki za binadamu etc etc utafika wakati hayatavumilika. Time will tell!

Couldn't have said it better myself.
 
I fucking hate war , and i can smell it not far away from the near future.
 
"A black person not only blackness lies on his/her skin but blackness is also entrenched deep into his/her mind." [emoji19]
and heart and soul. The monkey arrogance and selfishness is a reflection to that darkness
 
Ukute upo serious na unaamini 100% upo sahihi.
Ur sick bro.
 
Back
Top Bottom