Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,435
- 4,662
Waafrika wakishaingia madarakani hiyo katiba hawaoni kama ina ulazima.Huu sio ushauri mzuri, uongozi unatakiwa uondolewe madarakani kwa mujibu wa katiba kama haufai. Njia pekee ni boksi la kura.
Jeshi na mahakama (Judiciary) walitakiwa wapewe meno ya kusimamia Katiba.