Kwa hii trend inayoshika kasi ya udikiteita among African nations, I can predict kutakuwa na second wave of liberation struggle among African nations to gain their independence from fellow black colonialists! Angalia aina ya serikali katika nchi za Rwanda, Burundi, Uganda, Ethiopia, Zimbabwe to mention but a few-(ongezea za West Africa), ni wazi kwa mwendendo huu kuna civil wars zitaibuka Africa.
Mauaji ya waafrika wenzano, kutoheshimu Katiba za nchi zao, ukandamizaji, kupuuza haki za binadamu etc etc utafika wakati hayatavumilika. Time will tell!