Africa needs a second wave of armed struggle to gain independence from fellow black dictators, murderers, human rights violators and colonialists!

Thinking capacity yako ni very very low! Kwahiyo mababu zetu waliacha wosia kuwa Jiwe aue watu, avuje sheria, Katiba, avunje haki za biadamu.. Where is Ben Saanane> Where is Azory Gwanda, Where is Alphonce Mawazo? We got the so-called independence to get Killed by Jiwe? to be oppressed by Jiwe?
View attachment 1640420

ivi kwann upinzani hua mnajionaga kwamba ndo mna akili nchi nzima hakuna, yaaani mnajiona kama nyie ndo mnaa akili kupita wananchi, nyie ni wapuuzi tu, eti nyie ndo mlikua mchoma ofisi zenu moto alafu mnaanaza kurusha makombora ccm! saaahv naona wimbo wenu wote where is ben saanene 😂 😂 😂 😂

- ivi ni kweli i nyie chama cha demokrasia na maendeleo ambacho mwenyekiti haruhusiwi kupingwa, kuondolewa na ukionyesha tu nia cha moto utakiona, juzi zitto alipost twitter anasema alifukuzwa uanachama akiwa barabarani, kwa kweli tua safari ndefu sana
 
Ukisha kuwa CCM akili huwa hakuna kichwani.. Hakuna anayejua kesho yetu ikoje. Hakuna aliyejua tanzania itatawaliwa na dikiteita kwa demokrasia tuliyokuwa tumefikia. Ya kesho hatuyajui maana na USA haikufikiria kutawaliwa na mtu kama Trump

toka huko vijiweni kwenye hizo story za bao
 
Kwa hii trend inayoshika kasi ya udikiteita among African nations, I can predict kutakuwa na second wave of liberation struggle among African nations to gain their independence from fellow black colonialists! Angalia aina ya serikali katika nchi za Rwanda, Burundi, Uganda, Ethiopia, Zimbabwe to mention, but a few-TANZANIA IKIWA KINARA (ongez ea za WestAfrica), ni wazi kwa mwendendo huu kuna civil wars zitaibuka Africa.

Mauaji ya waafrika wenzano, kutoheshimu Katiba za nchi zao, ukandamizaji, kupuuza haki za binadamu etc etc utafika wakati hayatavumilika. Time will tell!
And there after there will be a third, fourth, fifth.... wave because those who will take power will surely be even worst dictators
 
Kwa hii trend inayoshika kasi ya udikteta among African nations, I can predict kutakuwa na second wave of liberation struggle among African nations to gain their independence from fellow black colonialists! Angalia aina ya serikali katika nchi za Rwanda, Burundi, Uganda, Ethiopia, Zimbabwe to mention, but a few-Tanzania ikiwa kinara. (ongezea za WestAfrica), ni wazi kwa mwenendo huu kuna civil wars zitaibuka Africa.

Mauaji ya waafrika wenzano, kutoheshimu Katiba za nchi zao, ukandamizaji, kupuuza haki za binadamu etc utafika wakati hayatavumilika. Time will tell!
HIZI NI NDOTO ZA MBURULA WA CHADEMA ENDELEENI KUOTA TUSHAWAJUA BAMTUMII UBONGO KUFIKIRI MNATUMIA FARU JOHNE

WAVE MY FOOT
 
Under all intent and purpose, my focus was to incriminate Tanzania, I am surprised I did omit it from my discussion.
Tanzania ya Magufuli must be on the top of this Agenda.
Tanzania is now purely under DICTATORSHIP government.
 
Thinking capacity yako ni very very low! Kwahiyo mababu zetu waliacha wosia kuwa Jiwe aue watu, avuje sheria, Katiba, avunje haki za biadamu.. Where is Ben Saanane> Where is Azory Gwanda, Where is Alphonce Mawazo? We got the so-called independence to get Killed by Jiwe? to be oppressed by Jiwe?
View attachment 1640420
Formula applied:
Humanbeing -Brain = Green Flies
 
Kwa hii trend inayoshika kasi ya udikteta among African nations, I can predict kutakuwa na second wave of liberation struggle among African nations to gain their independence from fellow black colonialists! Angalia aina ya serikali katika nchi za Rwanda, Burundi, Uganda, Ethiopia, Zimbabwe to mention, but a few-Tanzania ikiwa kinara. (ongezea za WestAfrica), ni wazi kwa mwenendo huu kuna civil wars zitaibuka Africa.

Mauaji ya waafrika wenzano, kutoheshimu Katiba za nchi zao, ukandamizaji, kupuuza haki za binadamu etc utafika wakati hayatavumilika. Time will tell!
Mkuu Retired,

Are you seriously writing this to mean what you wrote or it is just an avenue for you to spit the post election results hatred/ depressions?

A Tanzanian living in the lovely barrel country of that sort dare bad mouthing her majesty status anticipating its groins to wage civil war among themselves for unreasonable factors as mentioned thereof?

What do you mean by second wave liberation struggle from which dictatorship administration that gives you room spitting hatred on this grand fora?

Are you wishing the situation that is occurring in Abuja or Tigray to mushroom in Tanzania? You must be kidding to please your masters

It won't happen despite the concerted efforts you are attempting to emotionally influence the JF platinum members!!!
 
As long as you are using abusive language, I am not going to respond to your post! I am well equipped with abusive words but let me spare you for today!
 
Say your ideas... unaogopa nini? hakuna uasi hapa, ni observation tu..
My appeal to the Head of state, the CDF, the IGP, the director of intelligence security, the chairpersons of all political parties, the religious leaders, the elders and general public;

The heading of the thread by the JF member is strategically meant, so it needs to be carefully scrutinized, risk assessed, risk evaluated, impact analyzed and mitigating measures proactively put in place to avoid disasters that might be sparked by just a small emotional temper tensile limited to trigger atrocities on excusses they are fighting for democracy , human rights etc.

He who despises the impact of the thorn in leg eventually it swells and becomes cancerous disease difficult to medically treat it.

"Africa needs a second wave of armed struggle to gain independence from fellow black dictators, murderers, human rights violators and colonialists"!​

You must be crazy, and I am saying it again loudly! Africa continent needs a second wave of armed strugle to liberate its citizens from black colonialists!
 
Kwa hii trend inayoshika kasi ya udikteta among African nations, I can predict kutakuwa na second wave of liberation struggle among African nations to gain their independence from fellow black colonialists! Angalia aina ya serikali katika nchi za Rwanda, Burundi, Uganda, Ethiopia, Zimbabwe to mention, but a few-Tanzania ikiwa kinara. (ongezea za WestAfrica), ni wazi kwa mwenendo huu kuna civil wars zitaibuka Africa.

Mauaji ya waafrika wenzano, kutoheshimu Katiba za nchi zao, ukandamizaji, kupuuza haki za binadamu etc utafika wakati hayatavumilika. Time will tell!
Ambazo Amsterdam na TL wataziongoza? Mnaota sana. Sababu hajapata madaraka basi mnataka mpate kwa civil wars? Muanze civil wars za kifamilia kwanza. Otherwise ni utopolo mtupu
 
Back
Top Bottom